Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jobless wote wanajua IT ni mmoja tu mwamba wa PSRS ya kulambisha watu asili.
[emoji3][emoji3][emoji3].

# Natania tuh msije mkaanza kunisagia kunguni wataalam wa humu. Kwani mnapenda ugomvi sana
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Baada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.

Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
That guy have mental issues, seriously! sio mzaha
 
Baada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.

Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ battle haziishi humu
 
Ana haki ya kusema chochote anachowaza ila sio vizuri kuzidisha kutema sumu
 
Wakuu waliyewahi kupiga post za Tehama (IT SECURITY).
- hasa zile za MDAs na LGAs.

Naomba Msaada wa Aina ya Maswali both practical na Oral.

Natanguliza Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…