Sys-root
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 365
- 548
ya kazi gani mimi na nikiitaka naipata simple tu hiyoWe unayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya kazi gani mimi na nikiitaka naipata simple tu hiyoWe unayo?
Haya ndo maneno SASA🤩🤩🤩IT yupo kazini
Tunamkubali shusha PDF la placement IT wetu wa ukweli
IT anashusha pdf zingine anasahau la placementIT yupo kazini
Tunamkubali shusha PDF la placement IT wetu wa ukweli
Ipate sasaya kazi gani mimi na nikiitaka naipata simple tu hiyo
Hadi saa mbili usiku IT atakuwa ashashusha PDF la placement maan flash anayo.IT anashusha pdf zingine anasahau la placement
Duuuh. Okay. Afadhali ngoja tuendelee kuvuta subra...Chances are high omba usiwe na NOT Selected for ORAL kwenye App
IT was PSRS mtu wetu Hana baya.Hadi saa mbili usiku IT atakuwa ashashusha PDF la placement maan flash anayo.
IT hana baya jobless tunakukubali sana.
Jobless wote wanajua IT ni mmoja tu mwamba wa PSRS ya kulambisha watu asili.IT was PSRS mtu wetu Hana baya.
😂 😂 😂Jobless wote wanajua IT ni mmoja tu mwamba wa PSRS ya kulambisha watu asili.
[emoji3][emoji3][emoji3].
# Natania tuh msije mkaanza kunisagia kunguni wataalam wa humu. Kwani mnapenda ugomvi sana
That guy have mental issues, seriously! sio mzahaBaada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.
Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
😂 😂 😂 battle haziishi humuBaada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.
Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
Ana haki ya kusema chochote anachowaza ila sio vizuri kuzidisha kutema sumuUna akili za makalio.
Unatuharibia Uzi tunakuangalia..
Sikia sisi jobless tunahitaji uwe mfano mzuri kama Mwifwa .
Sasa wewe umepata kazi lakini upo kibanda umiza ukibishana na sisi jobless hatujui tunaingia lini kwa system.
JIONGEZE FICHA UPUMBAVU WAKO.
hiyo mbona ni jumanne tu week ijayo. ngoja tuwasubiri sisi ni watu watulivuNahisi placement ni kuanzia tarehe 2/1/2024 maana watu wapo sikukuu hamna wa kugawa barua...
Total 199%.....!Ramli pdf la placement
Alhamis 99.9%
Ijumaa 100%
[emoji3][emoji3][emoji3]To
Total 199%.....!