Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Baada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.

Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
That guy have mental issues, seriously! sio mzaha
 
Baada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.

Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
😂 😂 😂 battle haziishi humu
 
Una akili za makalio.
Unatuharibia Uzi tunakuangalia..

Sikia sisi jobless tunahitaji uwe mfano mzuri kama Mwifwa .

Sasa wewe umepata kazi lakini upo kibanda umiza ukibishana na sisi jobless hatujui tunaingia lini kwa system.

JIONGEZE FICHA UPUMBAVU WAKO.
Ana haki ya kusema chochote anachowaza ila sio vizuri kuzidisha kutema sumu
 
Wakuu waliyewahi kupiga post za Tehama (IT SECURITY).
- hasa zile za MDAs na LGAs.

Naomba Msaada wa Aina ya Maswali both practical na Oral.

Natanguliza Shukrani
 
Back
Top Bottom