Mnajimu nyota
Senior Member
- Oct 29, 2018
- 144
- 415
Vuta subira,mambo yatakaa sawaaaKada yangu kila mkeka lazima iwepo sema database yake iko Active kinyama..
Ila Haikosi iyo kada karbia mikeka yote ipo
Ila nadhani jina langu kuna siku watalikumbuka
Hongera sanaaaaaaaMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
[emoji120]upande wa ICT security na system administrator karibu sana pm tubadirishane namba
Mungu atakuonekania kijana wangu.Juzi uliongea kwa uchunguKada yangu kila mkeka lazima iwepo sema database yake iko Active kinyama..
Ila Haikosi iyo kada karbia mikeka yote ipo
Ila nadhani jina langu kuna siku watalikumbuka
Hamna kuna mtu alinitia sana moyo juzi ila Moyo wangu uliumia sana.Mungu atakuonekania kijana wangu.Juzi uliongea kwa uchungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaah ynii pdf linaload tu kichwani,moyoni ipo psrs...mm mpk hisia sina jmn[emoji1787] [emoji1787] yaani mpaka muda huu mimi ningekua theophili ningekua tayari kwenye kimbinyiko la usiku lile karibu na dereva pale uelekeo Dom town..
Baada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali.
Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real.
Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane.
Leo niko na harakati zangu nimepigiwa cmu nying Sanaa za hongera.
Utumishi hakuna connection..tuendelee kuongeza received na tusiache kwenda interview.
Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Keep on clapping for others untill is your turn. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
But never forget KUPAMBANA [emoji123]
Moyo wangu umekuwa na maumivu sana.
Nashindwa kueleza mengi.
Ila kibinadamu inauma.
Mimi napiga goti namwachia Mungu kama kuna jina langu kwenye mafaili ya katibu lionekane .
Nimechoka kutoa pongezi kwa watu mimi lini?
Alhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
Alhamdulillah wadau na mimi leo nimelamba asali,
Kweli wakati wa mungu ndio wakati sahihi [emoji120]
Let's believe one day yes.
Mungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
afya na ualimu hamna jipya