Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kale ka-feeling ka kuwa umeambiwa ufuate barua yako pale Asha Rose Migiro. Usingizi hauji hasa ukiwaza siku kbao ulizokuwa unasubiria hilo PDF mbaya zaidi uwe ambao ulifanya nao usaili walishaingia kazini miezi hata 8 ndo unatokea kwa PDF means unakuwa huna hili wala lile mara paaaaapu simu znaanza kuita na hongera kibao....machozi ya furaha lazima yakutoke🥲🥲

Chonde chonde....ambao bado ipo siku ndg zangu jambo litatick! Kama sio leo basi ni kesho. Kikubwa subira na kuamini ipo sku yaja usoitarajia
 
Baada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali.

Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real.

Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane.

Leo niko na harakati zangu nimepigiwa cmu nying Sanaa za hongera.

Utumishi hakuna connection..tuendelee kuongeza received na tusiache kwenda interview.

Honger sana mkuu👊👊,

Hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kabisa, pia kukata tamaa ni mwiko kwa mpambanaji.

Nakutakia maisha mema katika Utumishi wa umma, muhimu kutekeleza mmajukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni husika.

Kumbuka kutoa shukurani kwa taarifa hyo njema uliopokea kwa kusaidia makundi yenye uhitaji kwenye jamii yako kama vile watoto yatima, wazee, wenye ulemavu n.k

Hongera mwamba👊💯
 
Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA

Hongera sana kaka innojembe 👊👊💯

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi brother, Imani yako kwa M/Mungu, Jitihada pamoja na uvumilivu wako ndio vimezaa hayo matunda uliyopata.

Binafsi nakutakia maisha mema katk Utumishi wa umma na pia katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za kazi yako.

Mwisho kumbuka kutoa shukurani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji toka katka jamii yako kama vile watoto yatima, wenye ulemavu, wazee n.k
 
Keep on clapping for others untill is your turn. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


But never forget KUPAMBANA [emoji123]

Hyo ndio siri ya mafanikio ndugu💯

Ukifurahia mwenzio anapopiga hatua za maendeleo ww pia milango yako ya bahati inafunguka.✅️
 
Moyo wangu umekuwa na maumivu sana.

Nashindwa kueleza mengi.

Ila kibinadamu inauma.

Mimi napiga goti namwachia Mungu kama kuna jina langu kwenye mafaili ya katibu lionekane .

Nimechoka kutoa pongezi kwa watu mimi lini?

Pole sana mkuu,

Nakusihi usikate tamaa, hakuna jambo rahisi katika utafutaji. Wote walifanikiwa wana story nyuma yao jinsi walivyotaabika, si wote wanaoweka bayana.

Hvyo nakuomba kaza moyo, Mshirikishe M/Mungu mahitaji yako, pambana sana na pia kuwa na subira/ uvumilivu.

Na pia inapotokea mtu kafanikiwa mpongeze kwa moyo wote, hii pia husaidia kufungua milango ya baraka kwako.

Zingatia hayo ☝️☝️☝️matunda utayaona tu💯
 
Alhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.

Hongera sana mkuu @chidayo👏👏

Nakutakia furaha na mafanikio katika utumishi wako. Katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za kazi yako.

Furahia taarifa hii nzuri pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi kufika hapo.

Mwisho, kumbuka kutoa shukurani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji katka jamii yako kama vile watoto yatima, wazee, walemavu n.k

👊👊💯💯
 
Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.

Hongera sana mpambanaji😁😁❤️

Hii ndio maana halisi ya upambanaji . Hongera sana mwamba. Nakutakia maisha ya furaha katika utimizaji wa majukumu yako.

Katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma na pia nenda katende haki.

Mwsho, kumbuka kutoa shukurani kwa jamii inayokuzunguka na hasa kwa makundi yenye uhitaji kama vile watoto yatima, wenye ulemavu , wagonjwa n.k

👏👏💯
 
Alhamdulillah wadau na mimi leo nimelamba asali,
Kweli wakati wa mungu ndio wakati sahihi [emoji120]
Let's believe one day yes.

Hongera sana mkuu❤️💯

Daima wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga. Hongera kwa juhudi na uvumilivu wako. Katimize majukumu yako vizuri kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma na pia katende haki.

Furahia habari hii njema pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi mpk kufika hapo.

Mwsho, kumbuka kutoa shukurani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji toka ktk jamii yako kama vile watoto yatima, wagonjwa, walemavu, wazee n.k

👊👊💯
 
Mungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini

Hongera sana master👏👏💯

Muda wako ukifika ni umefika tu, hata usipoamini ila ndio uhalisia huo. Hongera sana mkuu, Nakutakia kheri na fanaka tele ktk maisha yako ya Utumishi wa umma.

Kumbuka kutoa shukurani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji toka ktk jamii yako kama vile watoto yatima, wagonjwa, wazee n.k

Kufanya hvyo☝️☝️utazidi kushangaa jnsi milango ya baraka inavyofunguka kwa kasi katika maisha yako.

❤👊👊💯
 
Back
Top Bottom