Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Placement inayosubiriwa ina subriwa na wengi mno taasisi nyingi hususani zike zenye nafafasi moja na nyingi sana ni tano placement hiyo bado
 
Huenda zipo mbioni.

Vyuo naona vimechukua jukumu la kuendesha sahili ingawa ni chini ya usimamizi wa PSRS, jambo jema wanaokoa muda.

Taasisi zingine ambazo sio za kitaaluma wangefanya hivi ingekuwa poa sana
 
Placement ijayo itajumuisha
DART,
Mzumbe (MU)
Elimu ufundi stadi (VETA)
Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Muhimbili (MNH)
Ngorongoro (NCAA)
Halmashauri Musoma
Ofisi ya Bunge
Mamlaka ya bandari (TPA)
Chuo kikuu Dar es salaam (UDSM)
Msajili Hazina (TRO)
Chuo cha biashara (CBE)
Huduma ya ununuzi serikalini (GPSA)
Wizara ya Afya

Loading for PDF.........
Unasubiri idara ipi? Tuchangamshe uzi
 
Huu mkeka nisipo kuwepo nasepa zangu shamba, Nianze Kilimo mapemaa
Sasa hivi kwani upo wapi? Sisi tupo shamba tunalima kitambo sana na hiyo mikeka tunaisubiri. Kilimo kwetu sio chaguo la mwisho.
 
Wizara ya afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…