makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Placement inayosubiriwa ina subriwa na wengi mno taasisi nyingi hususani zike zenye nafafasi moja na nyingi sana ni tano placement hiyo badoHivi wakuu zile nafasi za kazi UDSM.. Hawajawatoa tu, maana nafasi zikikuwa kama zote Tutorial Assistants.. Naona wenzao SUA tayari, OUT, Mustvtayari had I placements so far wametoa zingine..Hiki chuo cha Mzee wetu wamsoga bado sijafahamu michongo kabisa