Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi wakuu zile nafasi za kazi UDSM.. Hawajawatoa tu, maana nafasi zikikuwa kama zote Tutorial Assistants.. Naona wenzao SUA tayari, OUT, Mustvtayari had I placements so far wametoa zingine..Hiki chuo cha Mzee wetu wamsoga bado sijafahamu michongo kabisa
Placement inayosubiriwa ina subriwa na wengi mno taasisi nyingi hususani zike zenye nafafasi moja na nyingi sana ni tano placement hiyo bado
 
Hivi wakuu zile nafasi za kazi UDSM.. Hawajawatoa tu, maana nafasi zikikuwa kama zote Tutorial Assistants.. Naona wenzao SUA tayari, OUT, Must tayari hadi placements.. so far wametoa zingine. Hiki chuo cha Mzee wetu wa Msoga bado sijafahamu michongo kabisa
Huenda zipo mbioni.

Vyuo naona vimechukua jukumu la kuendesha sahili ingawa ni chini ya usimamizi wa PSRS, jambo jema wanaokoa muda.

Taasisi zingine ambazo sio za kitaaluma wangefanya hivi ingekuwa poa sana
 
Placement ijayo itajumuisha
DART,
Mzumbe (MU)
Elimu ufundi stadi (VETA)
Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Muhimbili (MNH)
Ngorongoro (NCAA)
Halmashauri Musoma
Ofisi ya Bunge
Mamlaka ya bandari (TPA)
Chuo kikuu Dar es salaam (UDSM)
Msajili Hazina (TRO)
Chuo cha biashara (CBE)
Huduma ya ununuzi serikalini (GPSA)
Wizara ya Afya

Loading for PDF.........
Unasubiri idara ipi? Tuchangamshe uzi
 
Huu mkeka nisipo kuwepo nasepa zangu shamba, Nianze Kilimo mapemaa
Sasa hivi kwani upo wapi? Sisi tupo shamba tunalima kitambo sana na hiyo mikeka tunaisubiri. Kilimo kwetu sio chaguo la mwisho.
 
Placement ijayo itajumuisha
DART,
Mzumbe (MU)
Elimu ufundi stadi (VETA)
Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Muhimbili (MNH)
Ngorongoro (NCAA)
Halmashauri Musoma
Ofisi ya Bunge
Mamlaka ya bandari (TPA)
Chuo kikuu Dar es salaam (UDSM)
Msajili Hazina (TRO)
Chuo cha biashara (CBE)
Huduma ya ununuzi serikalini (GPSA)
Wizara ya Afya

Loading for PDF.........
Unasubiri idara ipi? Tuchangamshe uzi
Wizara ya afya
 
Back
Top Bottom