Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

godoro keki mto andazi shuka chapati🀣 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna kipindi niliwahi pewa kidili fulani cha siku 1 tu pale cha kuwafuatilia wasajili laini,kama mitandao ya simu inafuata sharia za TCRA maana kuna masaa waliweka laini kuwa hewani pale inaposajiliwa kwa mara ya kwanza
😁😁 nililipwa laki na 85 ilikua ni kazi ya siku 1,sielewi walipaje hesabu zao ila tulilipwa hivyo,sijui ndo na local transportπŸ˜‚πŸ˜‚ nikasema kuna taasisi zinaogelea kwenye bwawa la asali
 
jitahidini mfaulu taasisi kama hiyo ukikandwa unaweza ukajinyea.. 🀣 🀣
 
Ushindwe mwenyewe mkuu.

Tupia nafasi zote ulizo na sifa, mambo yatajulikana huko mbele ukija kuitwa kwa interview
 
Ushindwe mwenyewe mkuu.

Tupia nafasi zote ulizo na sifa, mambo yatajulikana huko mbele ukija kuitwa kwa interview
Huko sahihi😁😁😁 mambo ni mbele kwa mbele
Ila kwa taasisi moja bora uombe nafasi 1 tu hizi saili itakua siku moja na muda mmojaπŸ˜‚πŸ˜‚ hivyo hautajigawa
 
Huko sahihi[emoji16][emoji16][emoji16] mambo ni mbele kwa mbele
Ila kwa taasisi moja bora uombe nafasi 1 tu hizi saili itakua siku moja na muda mmoja[emoji23][emoji23] hivyo hautajigawa
Chagua unayoimudu zaidi then uweke nguvu zote mule.

Ile kada yenye kuhitaji watu 14 ina uwanja mzuri wa kupambana
 
Duh!!11hao Waajiri wanashindwa kusema tu tunaletewa vijana wengi wanatanguliza sana pesa kuliko Utendaji kazi(Uwajibikaji) wawe wawazi tu hilo jobless silipingi..
Fanya uchunguzi maeneo wanayoingiza mapato''Tanroad,Tanapa wanapenda uwajibikaji sana ....!!! Kapitie Vigezo utasema bora PSRS
Note.Sema PSRS wanafuta Ukabila ndani ya Taasisi ni hilo tu Mungu amewapa Maono katika Taifa
 
Wataalam wa check namba na check namba watarajiwa, msaada pale kwenye tell us about yourself unatakiwa usemeje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…