Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

godoro keki mto andazi shuka chapati๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuna kipindi niliwahi pewa kidili fulani cha siku 1 tu pale cha kuwafuatilia wasajili laini,kama mitandao ya simu inafuata sharia za TCRA maana kuna masaa waliweka laini kuwa hewani pale inaposajiliwa kwa mara ya kwanza
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nililipwa laki na 85 ilikua ni kazi ya siku 1,sielewi walipaje hesabu zao ila tulilipwa hivyo,sijui ndo na local transport๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikasema kuna taasisi zinaogelea kwenye bwawa la asali
 
jitahidini mfaulu taasisi kama hiyo ukikandwa unaweza ukajinyea.. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
dadek pale ni mzinga wa asali mkuu,tutauana natupia afu naanza kujifua since day 1 inayosoma received mkuu[emoji16][emoji16]
Ntatupia ata nisichosoma class ntakomaa online[emoji23][emoji23][emoji23]

napajua vizuri sana pale watu wanakula honoraria za kufa mtu
Ushindwe mwenyewe mkuu.

Tupia nafasi zote ulizo na sifa, mambo yatajulikana huko mbele ukija kuitwa kwa interview
 
Ushindwe mwenyewe mkuu.

Tupia nafasi zote ulizo na sifa, mambo yatajulikana huko mbele ukija kuitwa kwa interview
Huko sahihi๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mambo ni mbele kwa mbele
Ila kwa taasisi moja bora uombe nafasi 1 tu hizi saili itakua siku moja na muda mmoja๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hivyo hautajigawa
 
Huko sahihi[emoji16][emoji16][emoji16] mambo ni mbele kwa mbele
Ila kwa taasisi moja bora uombe nafasi 1 tu hizi saili itakua siku moja na muda mmoja[emoji23][emoji23] hivyo hautajigawa
Chagua unayoimudu zaidi then uweke nguvu zote mule.

Ile kada yenye kuhitaji watu 14 ina uwanja mzuri wa kupambana
 
Wanalalamika waombaji wengi hawajakidhi vigezo. Ukiona umeitwa ni kwasababu hakuna chaguo la pili lakini ni hamna kitu.
Kama wewe ni mwasibu ukitwa Utumishi ujue pale KPMG, PWC hata ukarani hupewi.
Kama wewe ni mwanasheria, wakikuita ujue uwakili wa binafsi huwezi.
Kuna malalamiko mengi, ila hakuna namna, graduates wengi wa sasa ndio wale wamefanya mitani ya kuchagua, unawekewa majibu wewe unatafuta fomula.
Duh!!11hao Waajiri wanashindwa kusema tu tunaletewa vijana wengi wanatanguliza sana pesa kuliko Utendaji kazi(Uwajibikaji) wawe wawazi tu hilo jobless silipingi..
Fanya uchunguzi maeneo wanayoingiza mapato''Tanroad,Tanapa wanapenda uwajibikaji sana ....!!! Kapitie Vigezo utasema bora PSRS
Note.Sema PSRS wanafuta Ukabila ndani ya Taasisi ni hilo tu Mungu amewapa Maono katika Taifa
 
Wataalam wa check namba na check namba watarajiwa, msaada pale kwenye tell us about yourself unatakiwa usemeje!
 
Back
Top Bottom