No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Hapa inategemea akili ya mtu mkuu...๐๐๐๐ iko hivi aliyeingia miaka 10 kazini ndani ya miaka 2 tu hakupati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa inategemea akili ya mtu mkuu...๐๐๐๐ iko hivi aliyeingia miaka 10 kazini ndani ya miaka 2 tu hakupati
๐๐๐ kuna kipindi niliwahi pewa kidili fulani cha siku 1 tu pale cha kuwafuatilia wasajili laini,kama mitandao ya simu inafuata sharia za TCRA maana kuna masaa waliweka laini kuwa hewani pale inaposajiliwa kwa mara ya kwanzagodoro keki mto andazi shuka chapati๐คฃ ๐คฃ
jitahidini mfaulu taasisi kama hiyo ukikandwa unaweza ukajinyea.. ๐คฃ ๐คฃ๐๐๐ kuna kipindi niliwahi pewa kidili fulani cha siku 1 tu pale cha kuwafuatilia wasajili laini,kama mitandao ya simu inafuata sharia za TCRA maana kuna masaa waliweka laini kuwa hewani pale inaposajiliwa kwa mara ya kwanza
๐๐ nililipwa laki na 85 ilikua ni kazi ya siku 1,sielewi walipaje hesabu zao ila tulilipwa hivyo,sijui ndo na local transport๐๐ nikasema kuna taasisi zinaogelea kwenye bwawa la asali
Ushindwe mwenyewe mkuu.dadek pale ni mzinga wa asali mkuu,tutauana natupia afu naanza kujifua since day 1 inayosoma received mkuu[emoji16][emoji16]
Ntatupia ata nisichosoma class ntakomaa online[emoji23][emoji23][emoji23]
napajua vizuri sana pale watu wanakula honoraria za kufa mtu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]godoro keki mto andazi shuka chapati[emoji1787] [emoji1787]
๐๐๐jitahidini mfaulu taasisi kama hiyo ukikandwa unaweza ukajinyea.. ๐คฃ ๐คฃ
Huko sahihi๐๐๐ mambo ni mbele kwa mbeleUshindwe mwenyewe mkuu.
Tupia nafasi zote ulizo na sifa, mambo yatajulikana huko mbele ukija kuitwa kwa interview
Chagua unayoimudu zaidi then uweke nguvu zote mule.Huko sahihi[emoji16][emoji16][emoji16] mambo ni mbele kwa mbele
Ila kwa taasisi moja bora uombe nafasi 1 tu hizi saili itakua siku moja na muda mmoja[emoji23][emoji23] hivyo hautajigawa
mkuu uko sahihi ila wakati wa Mungu ukifika ata nafasi ya mtu mmoja au wawili unataboa tuChagua unayoimudu zaidi then uweke nguvu zote mule.
Ile kada yenye kuhitaji watu 14 ina uwanja mzuri wa kupambana
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃgodoro keki mto andazi shuka chapati๐คฃ ๐คฃ
Kweli mkuu, kila la kheriM
mkuu uko sahihi ila wakati wa Mungu ukifika ata nafasi ya mtu mmoja au wawili unataboa tu
Duh!!11hao Waajiri wanashindwa kusema tu tunaletewa vijana wengi wanatanguliza sana pesa kuliko Utendaji kazi(Uwajibikaji) wawe wawazi tu hilo jobless silipingi..Wanalalamika waombaji wengi hawajakidhi vigezo. Ukiona umeitwa ni kwasababu hakuna chaguo la pili lakini ni hamna kitu.
Kama wewe ni mwasibu ukitwa Utumishi ujue pale KPMG, PWC hata ukarani hupewi.
Kama wewe ni mwanasheria, wakikuita ujue uwakili wa binafsi huwezi.
Kuna malalamiko mengi, ila hakuna namna, graduates wengi wa sasa ndio wale wamefanya mitani ya kuchagua, unawekewa majibu wewe unatafuta fomula.
Hehehehee psrs wanatupa mafunzo ya uganga...Hakikisha Jumatatu saa 9 alasiri unakiwa na bando na uko online
kuna niniHakikisha Jumatatu saa 9 alasiri unakiwa na bando na uko online
Haah mzee mkamalia pdf lingine kuanzia tar 15Hakikisha Jumatatu saa 9 alasiri unakiwa na bando na uko online
You don't know about yourself?Wataalam wa check namba na check namba watarajiwa, msaada pale kwenye tell us about yourself unatakiwa usemeje!