Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahaha

Enzi zetu uzi ulikuwa wa moto sana, sio kama sasa. Hamasa ilikuwa kubwa, tulipeana miongozo maridadi. Wengi tulifikia kukata tamaa ila tuliusiana tukainuka na kusonga mbele, hatiimaye ikawa Historia.

Nashauri watu wawe wanasoma uzi kuanzia mwanzo watapata nguvu ya kupambana, uzuri kwa sasa hauwezi kupoteza nauli kwa ajili ya Written kama ilivyokuwa sisi. Ni juu yenu kupambana.
 
More explanation about this⁉️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…