Ashamery
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 171
- 185
Mbona pdf inatoka siku yeyote bossTarehe 15 ni jmos..hakuna kitu ni ramli tu hizo..tena kuna interview kibao weekend hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona pdf inatoka siku yeyote bossTarehe 15 ni jmos..hakuna kitu ni ramli tu hizo..tena kuna interview kibao weekend hii
HahahahaNilikua nasoma comments za nyuma za hii thread kumbe adi wa kina Mwifa walikua wanalalamik mpaka wanasema kwanini matokeo ya oral yasiachiwe hadharani,ilifika kipndi walivunjika moyo wakina mfwende[emoji23][emoji23]..so moyo kuumia,kulalamika ipo automatic but ndo ivo tunaanguka tunajikokota tena mpk kieleweke.Giving up is not an option,mapambano yaendelee🫠
Yaani kwa sisi wazoefu wa kufuatilia pdf nimemaanisha ya kuwa lazima wapumzike wiki mbili ndo maana nikasema atleast pdf lingine ni kuanzia tar 15 huko...Tarehe 15 ni jmos..hakuna kitu ni ramli tu hizo..tena kuna interview kibao weekend hii
Aah sawa...lkn IT kasema anasainishaYaani kwa sisi wazoefu wa kufuatilia pdf nimemaanisha ya kuwa lazima wapumzike wiki mbili ndo maana nikasema atleast pdf lingine ni kuanzia tar 15 huko...
Mnatuchanganya nyie😃..watu mpaka tunaotaAah sawa...lkn IT kasema anasainisha
Sasa wanapumzika nini 😂Yaani kwa sisi wazoefu wa kufuatilia pdf nimemaanisha ya kuwa lazima wapumzike wiki mbili ndo maana nikasema atleast pdf lingine ni kuanzia tar 15 huko...
Tuendelee kujifarijiMnatuchanganya nyie😃..watu mpaka tunaota
Tamko moja tu, database inaisha🙏....
Mama(Rais) hayasikie maombi yetu jobless
Wanalalamika waombaji wengi hawajakidhi vigezo. Ukiona umeitwa ni kwasababu hakuna chaguo la pili lakini ni hamna kitu.
Kama wewe ni mwasibu ukitwa Utumishi ujue pale KPMG, PWC hata ukarani hupewi.
Kama wewe ni mwanasheria, wakikuita ujue uwakili wa binafsi huwezi.
Kuna malalamiko mengi, ila hakuna namna, graduates wengi wa sasa ndio wale wamefanya mitani ya kuchagua, unawekewa majibu wewe unatafuta fomula.
😂AminaEeh Mungu naomba nipate kwenye hizi taasisi zilizotoa gawio. Amina
Hebu nipe shule Gawio linahusiana vipi na ajira mkuuEeh Mungu naomba nipate kwenye hizi taasisi zilizotoa gawio. Amina
Mkuu tupate kaz kweny taasis zilizotoa gawio...ndio maana yanguHebu nipe shule Gawio linahusiana vipi na ajira mkuu
Duuh kwa hiyo hizo taasisi mbona ziko kimya mimi nimemwachia MunguMkuu tupate kaz kweny taasis zilizotoa gawio...ndio maana yangu
Gawio halina impact na maslai ya mfanyakazi.Mkuu tupate kaz kweny taasis zilizotoa gawio...ndio maana yangu
Mkuu hizo taasisi zina marupurupu kibao na yanalipwa kwa wakatGawio halina impact na maslai ya mfanyakazi.
Kuna impact mzee hizo taasisi zote zilizoongoza kwa gawio ndo Kuna asali balaaa maana zinatengeneza faida kwaiyo maslahi ya mfanyakazi lazima yawe mazuri.Gawio halina impact na maslai ya mfanyakazi.