Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nilikua nasoma comments za nyuma za hii thread kumbe adi wa kina Mwifa walikua wanalalamik mpaka wanasema kwanini matokeo ya oral yasiachiwe hadharani,ilifika kipndi walivunjika moyo wakina mfwende[emoji23][emoji23]..so moyo kuumia,kulalamika ipo automatic but ndo ivo tunaanguka tunajikokota tena mpk kieleweke.Giving up is not an option,mapambano yaendelee🫠
Hahahaha

Enzi zetu uzi ulikuwa wa moto sana, sio kama sasa. Hamasa ilikuwa kubwa, tulipeana miongozo maridadi. Wengi tulifikia kukata tamaa ila tuliusiana tukainuka na kusonga mbele, hatiimaye ikawa Historia.

Nashauri watu wawe wanasoma uzi kuanzia mwanzo watapata nguvu ya kupambana, uzuri kwa sasa hauwezi kupoteza nauli kwa ajili ya Written kama ilivyokuwa sisi. Ni juu yenu kupambana.
 
🙏....
Mama(Rais) hayasikie maombi yetu jobless
 

Attachments

  • Screenshot_20240611-134008-1.jpg
    Screenshot_20240611-134008-1.jpg
    180.6 KB · Views: 10
More explanation about this⁉️
Wanalalamika waombaji wengi hawajakidhi vigezo. Ukiona umeitwa ni kwasababu hakuna chaguo la pili lakini ni hamna kitu.
Kama wewe ni mwasibu ukitwa Utumishi ujue pale KPMG, PWC hata ukarani hupewi.
Kama wewe ni mwanasheria, wakikuita ujue uwakili wa binafsi huwezi.
Kuna malalamiko mengi, ila hakuna namna, graduates wengi wa sasa ndio wale wamefanya mitani ya kuchagua, unawekewa majibu wewe unatafuta fomula.
 
Back
Top Bottom