Binafsi nimekuwa excited sana kuingia kwenye mrija, muda unazidi kutembea, umri wa utumishi unazidi kukatika.Mkuu, kuhusu suala la kuingia Utumishi, kuwepo Jf muda mwingi na kutoa updates unastahili pongezi sana.
Matukio mengi huwa nayapata kupitia komenti zako.
Hongera sana.
Leo lazima itoke Tangazo la Kazi, kuitwa kazini, kuitwa kwa usaili.lolote linaweza kutokeaKumekucha mkuu, tukae mkao wa kula kwa PDF yoyote ya siku ya leo
Ahahah Maneno ya matumaini yanafanya siku iendeleaaa kuwa njemaLeo lazima itoke Tangazo la Kazi, kuitwa kazini, kuitwa kwa usaili.lolote linaweza kutokea
Matumaini ni mhimuAhahah Maneno ya matumaini yanafanya siku iendeleaaa kuwa njema
Kwa kweli hakuna namna kitu kizuri kuishi kwa matumainiMatumaini ni mhimu
Hiyo ni pamoja na placement au saili tuKwahyo wadau hapa tutegemee PDF ya usaili hadi ziishe hz zilizoitwa September..? Maana utumishi huwa wakitangaza usaili basis hawatoi nyingine hadi iishe hyo.. Sasa naona in mbali sana maana hizi saili zitatamatika 13 September..
Mtandao upo busyNijuavyo mimi kuna placement au shortlist itatoka kubwa ambayo itafanyika directly Dodoma,,,shortlist ambazo zilizotoka pale nyingi kama si zote zinafanyika mikoani ambapo PSRS wanapeleka wawakilishi/wasimamizi kule,,,PDF zipo wakulungwa kikubwa kuomba mungu wale wanasubiri shortlist wakafanye vyema,,,na wanaosubiri placements wawemo
Leo kutakuwa na chochote kituMtandao upo busy
Au ww hujaonaLeo kutakuwa na chochote kitu
Au ww hujaona
Tusubili placements or shortlistedWeb imekuwa nzito ku-open..?
Tusubili placements or shortlisted
Nzito noomaWeb imekuwa nzito ku-open..?
Imekuwa nzito kufunguaWeb imekuwa nzito ku-open..?
Sawa kiongozi unaupload had umalize tayari jioniIla Placement huwa zinapostiwaga jioni.. kuweni wapoleee