Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu, kuhusu suala la kuingia Utumishi, kuwepo Jf muda mwingi na kutoa updates unastahili pongezi sana.

Matukio mengi huwa nayapata kupitia komenti zako.

Hongera sana.
Binafsi nimekuwa excited sana kuingia kwenye mrija, muda unazidi kutembea, umri wa utumishi unazidi kukatika.

Kwa hizi Application chache za Utumishi nilizoapply nazifuatilia kwa karibu sana, huku nikiwa na shauku ya kuona mwisho ingawa kiuhalisia najijua ni pagumu sana kutoboa[emoji3][emoji3]

Hivyo nimekuwa mraibu wa kuitembelea website ya PSRS ili kuona kinachojiri.
 
Kwahyo wadau hapa tutegemee PDF ya usaili hadi ziishe hz zilizoitwa September..? Maana utumishi huwa wakitangaza usaili basis hawatoi nyingine hadi iishe hyo.. Sasa naona in mbali sana maana hizi saili zitatamatika 13 September..
 
Nijuavyo mimi kuna placement au shortlist itatoka kubwa ambayo itafanyika directly Dodoma,,,shortlist ambazo zilizotoka pale nyingi kama si zote zinafanyika mikoani ambapo PSRS wanapeleka wawakilishi/wasimamizi kule,,,PDF zipo wakulungwa kikubwa kuomba mungu wale wanasubiri shortlist wakafanye vyema,,,na wanaosubiri placements wawemo
 
Mtandao upo busy
 
Back
Top Bottom