Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Binafsi nimekuwa excited sana kuingia kwenye mrija, muda unazidi kutembea, umri wa utumishi unazidi kukatika.Mkuu, kuhusu suala la kuingia Utumishi, kuwepo Jf muda mwingi na kutoa updates unastahili pongezi sana.
Matukio mengi huwa nayapata kupitia komenti zako.
Hongera sana.
Kwa hizi Application chache za Utumishi nilizoapply nazifuatilia kwa karibu sana, huku nikiwa na shauku ya kuona mwisho ingawa kiuhalisia najijua ni pagumu sana kutoboa[emoji3][emoji3]
Hivyo nimekuwa mraibu wa kuitembelea website ya PSRS ili kuona kinachojiri.