Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unaripoti unakuta department Ina watu watano,kati yao watatu ni intern kwa miaka zaidi ya 4.Wanakuuliza mara mbili mbili "ko umepitia Psrs? "😀😀😀
Serikali kuu wanazingua sana , hizo habari za intern ni useng tu , internship gani ya miaka 4 hiyo ?
Watu waajiriwe directly kupitia mfumo wa psrs kuondoa ukiritimba
 
Serikali kuu wanazingua sana , hizo habari za intern ni useng tu , internship gani ya miaka 4 hiyo ?
Watu waajiriwe directly kupitia mfumo wa psrs kuondoa ukiritimba
Hatari sana mkuu.....shida hata mchakato wa kupata interns haupo wazi.Binafsi niliwahi tafuta intern kwenye taasisi za serikal mpk. Soli ya kiatu ikaisha.Kuna taasisi Moja nilijibiwa tu na mlinzi "Hapa hatuchukuagi wanaojitolea kajaribu sehem nyingine"
 
Serikali kuu wanazingua sana , hizo habari za intern ni useng tu , internship gani ya miaka 4 hiyo ?
Watu waajiriwe directly kupitia mfumo wa psrs kuondoa ukiritimba
Tusilaumu Serikali Kuu Inajitahidi sanaa ...
Ndo maana wamekuja na Mfumo mpya na tumeona matokeo yake kwenye LGA&MDA walipo ufanyia majaribio...
Mama(Raisi) tunamuomba Taasisi zote zirudi Utumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…