Msafi Official
Member
- Oct 23, 2021
- 63
- 103
Haijpandishwa badombona kuna pdf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijpandishwa badombona kuna pdf
Usipokuwa makini hao ndio watakusagia kunguni.Unaripoti unakuta department Ina watu watano,kati yao watatu ni intern kwa miaka zaidi ya 4.Wanakuliza mara mbili mbili "ko umepitia Psrs? "😀😀😀
Hawachelewi kusema "Tumeletewa mtu hajui hata kazi"😀😀Usipokuwa makini hao ndio watakusagia kunguni.
Ndio walivyo hao wanasahau hata wao walikuja hawajuiHawachelewi kusema "Tumeletewa mtu hajui hata kazi"😀😀
mie niko tayari hata kua mpishi wa halmashauriWakuu,
Mimi nilipofikia sasa, kwa kweli wanipeleke Halmashauri yoyote tu
Hata Kama ni Mpimbwe, Kakonko, Uvinza, Karagwe na kwingineko huko
Matakooooni kabisa mwa nchi
[emoji28][emoji28][emoji28]mie niko tayari hata kua mpishi wa halmashauri
Serikali kuu wanazingua sana , hizo habari za intern ni useng tu , internship gani ya miaka 4 hiyo ?Unaripoti unakuta department Ina watu watano,kati yao watatu ni intern kwa miaka zaidi ya 4.Wanakuuliza mara mbili mbili "ko umepitia Psrs? "😀😀😀
Hao ndio wanachelewesha ma pdf....mtu upo database kumbe nafas yako kuna mtu anajitolea...Serikali kuu wanazingua sana , hizo habari za intern ni useng tu , internship gani ya miaka 4 hiyo ?
Watu waajiriwe directly kupitia mfumo wa psrs kuondoa ukiritimba
Janabi muhimbili katimua volunteer wote.Hao ndio wanachelewesha ma pdf....mtu upo database kumbe nafas yako kuna mtu anajitolea...
Kweli bana wanajaza nafas za wengine...Janabi muhimbili katimua volunteer wote.
Hatari sana mkuu.....shida hata mchakato wa kupata interns haupo wazi.Binafsi niliwahi tafuta intern kwenye taasisi za serikal mpk. Soli ya kiatu ikaisha.Kuna taasisi Moja nilijibiwa tu na mlinzi "Hapa hatuchukuagi wanaojitolea kajaribu sehem nyingine"Serikali kuu wanazingua sana , hizo habari za intern ni useng tu , internship gani ya miaka 4 hiyo ?
Watu waajiriwe directly kupitia mfumo wa psrs kuondoa ukiritimba
Mwenye uzoefu wa nini mkuu, Kusoma au interviewHabari zenu viongozi!
Naomba mwenye uzoefu na Open University anisaidie.
Ngoja tuone mfumo mpya aliozindua Waziri mkuu kama utafanya kazi kwenye Taasisi kutambua mapungufu kwa wafanyakazi kama ulivyofanya kwenye Halmashauri kwa ufanisi....Hao ndio wanachelewesha ma pdf....mtu upo database kumbe nafas yako kuna mtu anajitolea...
Tusilaumu Serikali Kuu Inajitahidi sanaa ...Serikali kuu wanazingua sana , hizo habari za intern ni useng tu , internship gani ya miaka 4 hiyo ?
Watu waajiriwe directly kupitia mfumo wa psrs kuondoa ukiritimba
Karibu tukupe muongozo nini shida yako?Habari zenu viongozi!
Naomba mwenye uzoefu na Open University anisaidie.