Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera utumishi mwema
 
Hongera sana kaka
 
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi
 
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 
Hongera, hii inanipa faraja naamini ipo siku na mimi nitapita humu kutoa shuhuda si mara moja wala mbili unakuta nakosa max 2 au 3 kuingia oral....
 
💪
 
Elmarabiosh kijana wangu amekata moto.

Mimi nimepokea niombee nami nipate.

Hongera sana kwa kupata kazi
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…