Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Hongera chiefahsante sana mkuu[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera chiefahsante sana mkuu[emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Hongera chief
Kwakweli aendelee na moyo huo huo[emoji419]Chief MWIFA umetupiga tafu sana vijana kwenye nyakati ngumu za kutaka kukata tamaa. Nakubali mkuu
Hongera utumishi mwemaDah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
HongeraNdg zangu nashukuru Mungu nimefikiwa. What I learn from this struggle ndg zangu. Tumuombe sana Mungu anatenda.
Hongera sana kakaDah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
Hongera sanaNdg zangu nashukuru Mungu nimefikiwa. What I learn from this struggle ndg zangu. Tumuombe sana Mungu anatenda.
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kaziNamshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.
God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Hongera Sana, Mungu hutoa Kwa wakati sahihi ukawe mtumishi mwema na mwadilifuNdg zangu nashukuru Mungu nimefikiwa. What I learn from this struggle ndg zangu. Tumuombe sana Mungu anatenda.
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuDah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
Hongera, hii inanipa faraja naamini ipo siku na mimi nitapita humu kutoa shuhuda si mara moja wala mbili unakuta nakosa max 2 au 3 kuingia oral....Dah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
Shukrani sana mkuu[emoji120]Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi
Hongera
Shukrani mkuuHongera Sana, Mungu hutoa Kwa wakati sahihi ukawe mtumishi mwema na mwadilifu
💪Dah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
Elmarabiosh kijana wangu amekata moto.Dah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
Hongera sanaNdg zangu nashukuru Mungu nimefikiwa. What I learn from this struggle ndg zangu. Tumuombe sana Mungu anatenda.
Hongera sanaNamshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.
God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNdg zangu nashukuru Mungu nimefikiwa. What I learn from this struggle ndg zangu. Tumuombe sana Mungu anatenda.