Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Walikupa muda uwaulize swali?
 
Sawa mkuu, tuishi kwenye kumuachia Mungu afanye yake
 
Hawajakuuliza machallenge na mengineyo?
Hawajaniuliza.

Kuna swali moja la Afya lililenga kuverify kitu fulani ambapo naliingiza pia kwenye Auditing.

Halafu nilijikuta kila point ya swali la Auditing, nilimalizia na neno Auditing/Inspection.

Baadhi ya point panelists walikuwa wana node kichwa labda walikuwa wanaitikia mkando[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ahsante sana mkuu kwa faraja. tuendelee kusapotiana namna hii ma tuweze kufikia hatua tunayoitamani kufikia
 
Daahh, bado hatuwezi kuhitimisha hili.

Niliokuwa nao oral, wako bright, mimi maombi yangu angalau niingie kanzi data.

Nilikandwa mara 3 mfululizo.

Sasa hii golden chance naiombea niwe angalau kanzi data maana hizi written zinatua nguo sana
Wote mmefaulu ndio maana mmekutana kwenye usaili wa majadiliano mkuu.

Tulishahitimisha kuwa matokeo ya written hayahusian na huku. Mi pia kama wengine naamini sote muda wetu utafika.
 
Wote mmefaulu ndio maana mmekutana kwenye usaili wa majadiliano mkuu.

Tulishahitimisha kuwa matokeo ya written hayahusian na huku. Mi pia kama wengine naamini sote muda wetu utafika.
Sawa mkuu, Ahsante kwa kunikumbusha kuhusu matokeo ya written kutohusiana na ya Oral.

Basi tuendelee kuomba mambo yawe mazuri
 
Dada prox nimekuona ndani ya dress code ya Uanasheria kama vile unaenda kufafanua PGO pale Kisutu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hahaha, jana nilitaka tukuagize kuhakikisha ukirudi kutoka Dodoma uje na maelezo ya kutosha kuhusu Prok, kama ni mnene, mwembamba, mrefu, mweupe au mweusi. Kuhusu utamjuaje, hatujui.
 
Mkuu hongera sana! Nakuasa mara utakapopokea barua ya kuitwa kazini au kuanza kazi usiwasahau jobless wenzio kutoka huu uzi ambao kila sio wanaongezeka.
Hapa ni nyumbani mkuu, siwezi kupasahau. Miongoni mwa watu waliokuwa outstanding hapa ni mimi.

Tumekandwa mara nyingi, tukaja hapa kuelezana, sikukimbia.

Leo hii nimefanya oral yangu ya kwanza na kuhitimisha application zangu za Utumishi kwa mwaka huu.

Tathmini ni kuwa nimepambana sana na kufikia hatua ya mwisho, na kumuachia mwamuzi sasa(placements).

Tukitusua, tusikimbie tuwe mentor kwa wengine. Imagine sahihi za utumishi zinafanyika kwa miaka mingi hadi sasa lakini ukitafuta muongozo huwezi kupata isipokuwa huu uzi, hapo ina maanisha watu wakishaingia kwenye mrija wanondoka na kusahau kutoa miongozo kwa wengine. Kwa sisi tuwe tofauti.

Sasahivi nimekuwa expert wa mambo ya PSRS mwanzo mwisho, haya madini sipaswi kupotea nayo itakuwa kosa endapo nikipotea nayo.

Tuishi mkuu
 
Hili linawigo mpana, actually linataka ujimwake wote..sema kikubwa mda ndo hauruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…