Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Asante sana mkuu...mwaka jana nilipita written vizuri tu ila oral sikwenda sababu ya changamoto yangu ya masikio... ubarikiwe.
Pole sana next time usiache kwenda oral maana ndo usaili wenyewe,wao watajua namna ya kukusaili mkuu
 
Wakuu..
Hivi hizi international certificates zinafanya kazi serikalini?
Zinaweza kukupandisha cheo au kukuongezea daraja la mshahara kama ilivyo private?
CCNP, ACCA n.k
Ni nzuri sana zinakufanya utambulike kwamba ww ni mtalamu katika eneo husika,na ukubarike na taasisi nyingi ambazo zina asali tamu
Kwa mtu wa IT usipuuze hizi certification,hazikuongezei mshahara wala daraja bali Zinakutambulisha kwamba ww ni expert katika eneo hilo
 
Nilitaka kujua kama na huko gov zinakuwa na maana kama private...ngoja tupambane
 
Holder of Bachelor Degree in one of the following fields; Engineering, Economics, Human Resources Management, Public Administration, Agricultural Economics, Agriculture, Sociology, Computer Science, Information Communication and Technology, Library and Information Studies, Mathematics, Statistics, Tourism and Hospitality, Finance, Accounts, Mass Communication, Journalism, Law, Education, Monitoring and Evaluation, Development Studies or equivalent qualifications from recognized institutions.

Admission Officer II hiyo haijaacha mtu
 
Hakikisha unaongeza received
Hakikisha unahudhuria written
Hakikisha unahudhuria unapambana hadi practical
Hakikisha unapambana hadi Oral
Hakikisha unahudhuria Oral
Hakikisha unapambana kujibu maswali angalau 3 kati ya 5

RUWASA, eGA, NEMC, TAWIRI (few to mention )[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Asali wa Nyuki wakubwa AKA buyu la sali
 
Ubarikiwe sana aiseh kwa kutushtua
 
Kaka ubarikiwe kwa moyo wa majitoleo.

Tumeona wengi wakilamba asali wanakimbia na kusahau tabu zote haijawaha hivyo kwako.

Usichoke bado tunakuhitaji vijana wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…