Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu mbona app kwang haufunguki mkuu vipi huko maana hata mm nina katabia ka kusahau vitu
 
Hii oral kufanyika wilayani na baadhi ya wasaili kutoka wilaya hiyohiyo haijakaa vizuri....Assume mnashindana na mtu anajitolea kwenye taasisi flani na Hr au mkuu wa taasisi yupo kwenye panel hiyo,we mgeni unakuwa na kazi ya ziada
 
Huyo mkuu wa taasisi au HR sio final decision maker kwenye usaili. Panel huzingatia vigezo vingi na haina upendeleo.
 
Hii oral kufanyika wilayani na baadhi ya wasaili kutoka wilaya hiyohiyo haijakaa vizuri....Assume mnashindana na mtu anajitolea kwenye taasisi flani na Hr au mkuu wa taasisi yupo kwenye panel hiyo,we mgeni unakuwa na kazi ya ziada
😁 😁
 
Bongo noma aisee ukipata kazi shukuru Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…