Tanzania ni worse na too bad hata serikali yenyewe haijawahi admit kwamba hili ni janga kubwa sana kwa vijana wa nchi hii kwa sasa kuliko kitu kingine chochote , Tz ajira ni ngumu na ujasiriamali pia si lelemama ,mpaka kivumbi kitimke haswaa
Mtu akikupa visa ya Marekani na kubaki Bongo hapa wewe utachagua option ipi ?
Si bora hata kwa Trump unaweza kimbizana na gigs huko kwenye warehouses za Amazon ,Walmart nk
Njoo Bongo sasa , madalali tu tunarogana kila siku kusaka riziki ,acha kabisa
Nchi ngumu hii asikwambie mtu