Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ah afu umesema hvy ndo nkakukumbuka ila Mm hua sina kawaida ya kumkariri mtu 😂

Ujue date inajitegemea yenyewe, yn pale juu kuna address na tarehe, sasa kukosekana kwa trh cjui itakuaje.
Hapo n kuomba Mungu tuu wasizingatie hapo.
H n tofaut na yule mwngn, mana yeye aliandika kila kitu vzr ila alikosea kuweka address ya muajiri badala ya psrs, sasa n tofaut na ww mana yeye n ishu kubwa ila kwako sio ishu kubwa mana n trh tuu.
Mkuu mbona app kwang haufunguki mkuu vipi huko maana hata mm nina katabia ka kusahau vitu
 
Hii oral kufanyika wilayani na baadhi ya wasaili kutoka wilaya hiyohiyo haijakaa vizuri....Assume mnashindana na mtu anajitolea kwenye taasisi flani na Hr au mkuu wa taasisi yupo kwenye panel hiyo,we mgeni unakuwa na kazi ya ziada
 
Huyo mkuu wa taasisi au HR sio final decision maker kwenye usaili. Panel huzingatia vigezo vingi na haina upendeleo.
 
Hii oral kufanyika wilayani na baadhi ya wasaili kutoka wilaya hiyohiyo haijakaa vizuri....Assume mnashindana na mtu anajitolea kwenye taasisi flani na Hr au mkuu wa taasisi yupo kwenye panel hiyo,we mgeni unakuwa na kazi ya ziada
😁 😁
 
Tanzania ni worse na too bad hata serikali yenyewe haijawahi admit kwamba hili ni janga kubwa sana kwa vijana wa nchi hii kwa sasa kuliko kitu kingine chochote , Tz ajira ni ngumu na ujasiriamali pia si lelemama ,mpaka kivumbi kitimke haswaa
Mtu akikupa visa ya Marekani na kubaki Bongo hapa wewe utachagua option ipi ?
Si bora hata kwa Trump unaweza kimbizana na gigs huko kwenye warehouses za Amazon ,Walmart nk
Njoo Bongo sasa , madalali tu tunarogana kila siku kusaka riziki ,acha kabisa
Nchi ngumu hii asikwambie mtu
Bongo noma aisee ukipata kazi shukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom