PageNoteFound
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 153
- 399
Ivi ikitokea umetuma barua ya maombi Kisha kwenye kipengele Cha kusaini ukaweka pembeni na sio katika ya ukurasa, JE inaweza pelekea usiitwe kwenye usahili?
Ngoja nikwambie download app ya utumishi lete status yako apa nikwambie jambo.Dah, hawa jamaa ukiwafuatilia unakuwa na addiction kama teja, yaani roho inaenda juu juu kama vile upo ICU.
App sas hv haifanyi kazi, mie sidhan kama Kuna wanaoandikia tofauti ya SELECTED FOR ORALNgoja nikwambie download app ya utumishi lete status yako apa nikwambie jambo.
Kwan 'under maintenance' imetoka?App sas hv haifanyi kazi, mie sidhan kama Kuna wanaoandikia tofauti ya SELECTED FOR ORAL
Ehe omba isibadilike ukiona not jua kulamba asari sahauApp sas hv haifanyi kazi, mie sidhan kama Kuna wanaoandikia tofauti ya SELECTED FOR ORAL
Hy ata sio sababu maana tokea mwezi wa nane na tisa mikeka michache sanNaona mmepata sababu ya mikeka kuchelewa.View attachment 3100607
Kuna ambao wameandikiwa not selected baada ya oral utumishi!?Ehe omba isibadilike ukiona not jua kulamba asari sahau
Hakuna muujiza apo ngoja wailekebishe utaona ushuhuda
Ko mtu umu ndani usilalamike sana pitia na status zako
Sababu ni nini unadhani?Hy ata sio sababu maana tokea mwezi wa nane na tisa mikeka michache san
Hii mada tuliifunga wapoKuna ambao wameandikiwa not selected baada ya oral utumishi!?
Kuna ambao wameandikiwa not selected baada ya oral utumishi!?
Sijaelewa hii n kitu gn, naomba unieleweshe.Hio orodha kama uliomba chw ukikosa na hapa ndio basi tena
Unajua mshahara wake lakini ?Hio orodha kama uliomba chw ukikosa na hapa ndio basi tena
Hakuna jipya, leo wanatoa majina ya walioitwa usaili kada ya ualimu ili wajadiliane weekend hii badala ya kujadili Simba na Yanga bila faida yoyote.Leo kitu kinaanguka uko...PDF kama 3 hivi
🤣🤣 na wamegoma kuzima kimulimuli sasaHii mbili ya El marabiosh halafu ile tatu ya Rahsully , na hapo walikuwa wamekaa wanaibiana majibu 🤣🤣🤣
Mimi ndio maana fedheha kama hizi nishazikataa , nikagoma kuomba
Nikaona niendelee na udalali mtaani
Walimu wa bookkeeping na commerce hizo ajira watawafanyisha lini usaili.Hakuna jipya, leo wanatoa majina ya walioitwa usaili kada ya ualimu ili wajadiliane weekend hii badala ya kujadili Simba na Yanga bila faida yoyote.