Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hilo sio tatizo, tatizo nshaona na hiyo p. O. Box
Jitahidi uweke page moja kwenye barua, maneno mengi ya nini!? Izo details wakizitaka wanazipata hapo kwny portal account yako mkuu.. Kama huoni cha kupunguza basi compress file itoke single page..
 
Jitahidi uweke page moja kwenye barua, maneno mengi ya nini!? Izo details wakizitaka wanazipata hapo kwny portal account yako mkuu.. Kama huoni cha kupunguza basi compress file itoke single page..
Sawa.

ila n barua ya mtu ameandika maneno yake Then mm nika-copy & paste
 
Sawa.

ila n barua ya mtu ameandika maneno yake Then mm nika-copy & paste
Ndo umwambie ivo aandike vizuri mbona hapo juu kuna space kubwa sana? Ajitahd kuweka just a neat single page.. Japokuwa not necessarily lakin hivi vitu vidogovidogo vinaweza kumchelewesha sana.
 
Ndo umwambie ivo aandike vizuri mbona hapo juu kuna space kubwa sana? Ajitahd kuweka just a neat single page.. Japokuwa not necessarily lakin hivi vitu vidogovidogo vinaweza kumchelewesha sana.
πŸ™
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 yaan Engineer hali kama unavyoijua jua linawaka sana hapa dodoma najikuta sina ata Mia,vocha zinanikwepa nyieee maisha haya,,,msuli wapi yaan nkisoma kidogo akili inahama na hizo maksi jamn nmewaza wametoa mtihani wa aina gani majamaa haya adi Engineer kala 2 kheeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,haiwezekani,wananifanya kila ninapotaka kusoma nasema hapa sio hawatoi hapaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜”
 
Page zote zinazotaja mishahara humu ni za uongo aisee....watu wana siri kwenye mshahara...
Ukiona kaz we omba acha kuangalia mshahara
Safi sana mkuu, umeenda kuripoti kazin ukiwa na mawazo ya kulipwa 1M unakutana na 3M πŸ”₯
 
Page zote zinazotaja mishahara humu ni za uongo aisee....watu wana siri kwenye mshahara...
Ukiona kaz we omba acha kuangalia mshahara
Vip ni minono zaidi ya wanazengwe wabavyotupangaga au ni midogo zaidi ya iyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…