Aisee , ukafundishe chuo na zile namba za viatu ? 🤣🤣🤣🤣
Unawajua utumishi vizuri lakini ?
Ni mwendo wa Re-advertised tu.
Kha ! Ila Utumishi , ile tatu na mbili kwa kweli sijapenda , ule ni udhalilishaji .
Naenda kufungua kesi mahakamani kuwadai utumishi fidia ya bilioni , siwezi kula mbili mimi ,mtu mzima Engineer na masharubu kwenye mashavu halafu hawa Kenge wanipe marks mbili , no way ! 😄😄😄😄😄😄
Wameharibu saikolojia yangu na heshima pia.
Electrical engineers humu ni mimi ,wewe na Marabiosh .
Mzima lakini Rahsully ?
Kimya sana msuli sana nini wa kwenda kupambana na wakuda TAA na Temesa ?