Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jitahidi uweke page moja kwenye barua, maneno mengi ya nini!? Izo details wakizitaka wanazipata hapo kwny portal account yako mkuu.. Kama huoni cha kupunguza basi compress file itoke single page..
Sawa.

ila n barua ya mtu ameandika maneno yake Then mm nika-copy & paste
 
Sawa.

ila n barua ya mtu ameandika maneno yake Then mm nika-copy & paste
Ndo umwambie ivo aandike vizuri mbona hapo juu kuna space kubwa sana? Ajitahd kuweka just a neat single page.. Japokuwa not necessarily lakin hivi vitu vidogovidogo vinaweza kumchelewesha sana.
 
Ndo umwambie ivo aandike vizuri mbona hapo juu kuna space kubwa sana? Ajitahd kuweka just a neat single page.. Japokuwa not necessarily lakin hivi vitu vidogovidogo vinaweza kumchelewesha sana.
🙏
 
Aisee , ukafundishe chuo na zile namba za viatu ? 🤣🤣🤣🤣
Unawajua utumishi vizuri lakini ?
Ni mwendo wa Re-advertised tu.
Kha ! Ila Utumishi , ile tatu na mbili kwa kweli sijapenda , ule ni udhalilishaji .
Naenda kufungua kesi mahakamani kuwadai utumishi fidia ya bilioni , siwezi kula mbili mimi ,mtu mzima Engineer na masharubu kwenye mashavu halafu hawa Kenge wanipe marks mbili , no way ! 😄😄😄😄😄😄
Wameharibu saikolojia yangu na heshima pia.
Electrical engineers humu ni mimi ,wewe na Marabiosh .
Mzima lakini Rahsully ?
Kimya sana msuli sana nini wa kwenda kupambana na wakuda TAA na Temesa ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaan Engineer hali kama unavyoijua jua linawaka sana hapa dodoma najikuta sina ata Mia,vocha zinanikwepa nyieee maisha haya,,,msuli wapi yaan nkisoma kidogo akili inahama na hizo maksi jamn nmewaza wametoa mtihani wa aina gani majamaa haya adi Engineer kala 2 kheee😂😂😂,haiwezekani,wananifanya kila ninapotaka kusoma nasema hapa sio hawatoi hapa😆😆😔
 
Page zote zinazotaja mishahara humu ni za uongo aisee....watu wana siri kwenye mshahara...
Ukiona kaz we omba acha kuangalia mshahara
Safi sana mkuu, umeenda kuripoti kazin ukiwa na mawazo ya kulipwa 1M unakutana na 3M 🔥
 
Page zote zinazotaja mishahara humu ni za uongo aisee....watu wana siri kwenye mshahara...
Ukiona kaz we omba acha kuangalia mshahara
Vip ni minono zaidi ya wanazengwe wabavyotupangaga au ni midogo zaidi ya iyo?
 
Back
Top Bottom