Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hakuna mahali nmewadharau waalimu.
Kwenye uzi wa usaili wa waalimu kuna watu walipanga hadi kunipiga kisa naunga mkono usaili so wao waalimu wanaona kama vile ni dharau kwao.

Hvy soma comment yangu vizuri afu fungua akili yako utaelewa nilichomaanisha.
Acha kukaza kichwa ili uelewe
 
We jamaa na ww usibishe psprs mzigo umekuwa mkubwa wamepwaya kwa kiasi kikubwa mnoo mzigo ni mkubwa sana wameshindwa kuendana na muda wangepunguza mambo baadhi hizi za halmashauri sijui watendaji waendesha ofisi wangeacha
 
Achana na hichi kichwa kinapenda ubishi sana .

Kwanza uwa anafurahia kuona watu wanateseka.
 
Unaongea kwa jazba sana

Swali la Uzi :Kwanini utumishi wanachelewa kuita watu kazini?

Halfu bado wewe unaongea issue za process....

Process ipi ...

Process inatumia muda gani kuonenekana kawaida...

Mm sio mwalimu btw mm ni mtu wa afya ila mm naona PSRS wamekalia kuti bovu.

Ndo maana taasisi zinapambana zijitoe
 
We jamaa na ww usibishe psprs mzigo umekuwa mkubwa wamepwaya kwa kiasi kikubwa mnoo mzigo ni mkubwa sana wameshindwa kuendana na muda wangepunguza mambo baadhi hizi za halmashauri sijui watendaji waendesha ofisi wangeacha
Binafsi hakuna mkeka wowote ninaousubiria kutoka kwao zaidi ya kusibiri kuitwa interview miezi mitano sasa imepita.ila Utumishi wanzingua kisenge, na huu ni ukweli usiopingika ajira za afya na ualimu zimemewaelemea, hamna ufanisi wa kazi tena.
kama hujajiandaa unatoaje tangazo la kazi????
 
We jamaa na ww usibishe psprs mzigo umekuwa mkubwa wamepwaya kwa kiasi kikubwa mnoo mzigo ni mkubwa sana wameshindwa kuendana na muda wangepunguza mambo baadhi hizi za halmashauri sijui watendaji waendesha ofisi wangeacha
Kuachana na hizi za waalimu na afya, n mara ngap utumishi wanachelewa kutoa pdf? Huu Uzi umeanza lini, kwan kipind hicho waalimu na afya walikuwa utumishi?
 
kumbe mbaga jr anafurahia jinsi tunavyokipatapata🤣🤣🤣
Wewe mm jamaa namjua anaoenda sana watu wateseke halfu kumbe na yeye anateseka kama sisi tu.

Speed ya utumishi ya kutoa mikeka kama mwezi wa saba ungekuwa hadi leo unadhani tungekuwa wapi?
Sasa mm nafurahi vp wakati mm n jobless?
Mkisema Ety kisa n waalimu na afya ndo wanaosababisha haya hapo mnakosea sana mana sio mara ya kwanza utumishi kukaa muda mrefu hv
 
Hii taasisi sijui ina upungufu wawatumishi??🤔🤔 lakn hata hivyo mlundikano wa kazi ni nyingi kama kuna changamoto waangalie utaratibu mwingine wa ku solve hizi issue. Hivyo ni wazembe hawawajibiki ipasavyo vitengo vyao vyote ki ujumla
 
Kuachana na hizi za waalimu na afya, n mara ngap utumishi wanachelewa kutoa pdf? Huu Uzi umeanza lini, kwan kipind hicho waalimu na afya walikuwa utumishi?
Swali zuri mkuu ki ufupi tu utumishi wamepwaya sana sana kama wameshindwa KUFANYA KAZI KWA WAKATI NA HAWAWEKI WAZI CHANGAMOTO NINI NINA RECEIVED INA MIEZI MITANO NA BADO HAIJULIKANI LINI WATAITA INAKATISHA TAMAA
 
Kuachana na hizi za waalimu na afya, n mara ngap utumishi wanachelewa kutoa pdf? Huu Uzi umeanza lini, kwan kipind hicho waalimu na afya walikuwa utumishi?
Sasa ndo usione jambo la kawaida kubali tu.

Utumishi wamepuyanga.

Usiite mchakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…