Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Hakuna mahali nmewadharau waalimu.Kwahiyo wewe umefundishwa na watu wasio na akili? Heshimu waliokuongoza kufika ulipo sasa. Akikosea mwalimu au polisi au mwanajeshi au mwanasheria au mwasibu mmoja usihukumu wote kwa kosa au uzembe wa mtu mmoja kisa anataaluma flan basi ionekane watu wete wenye taaluma hiyo nao ni wakosaji wa hilo kosa.
Kwenye uzi wa usaili wa waalimu kuna watu walipanga hadi kunipiga kisa naunga mkono usaili so wao waalimu wanaona kama vile ni dharau kwao.
Hvy soma comment yangu vizuri afu fungua akili yako utaelewa nilichomaanisha.
Acha kukaza kichwa ili uelewe