Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pia usifanye kitu cha tofauti mbali na maelekezo uliyo pewa kama vile kufungua dashboard mpya au kuminimize dashboard maana utakuwa umetoka njee ya utaratibu ivyo inaweza pelekea kushindwa kumaliza maswali Yako maana mtiani utakuwa umejikusanya automatic
 
Kupanga ni kuchagua.Ila usijifunge sana just lower your pride ili usonge mbele Vema kujiuliza huo mgomo ulio nao una faida gani? Focus kwenye malengo yako usijilinganishe na watu wengine.
 
Kuna watu zari kama hili limewaangukia.

Ingawa sio approach nzuri sana na inawakosesha waajiri potential and competent employees.
Kwa vipi? Sifa za msingi za hiyo kazi kama anazo basi anafundishika na kazi ataiweza. Na ni mtanzania usisahau hilo nchi ni yetu sote anaweza kufanya popote hajaandikiwa kushika chaki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…