Huenda aliweka number tuHuyo mwalimu aliyepata 0 alitaka akafundishe mtoto wa nani?
Waliiita nusu. Nusu zilibaki ikiwemo cooperative officer, afisa kilimo, H.rs na wengine bado hawajaita
Ndo wale waliokuwa hawataki usaili 😂Huyo mwalimu aliyepata 0 alitaka akafundishe mtoto wa nani?
Haiwezekani.Huenda aliweka number tu
Tunaelekea kwenye uchaguzi Kiongozi......hamna mkuu. Ni hivi budget haiwezi kuwa kikwazo sana. Waalimu budget yao ilikuepo na wote kazi zilitongazwa budget zao zipo unataniambia hata B.O.T kazi zao zitasubiri mwaka wa fedha 25/26 unaonza july??
Kuna jamaa kasema huwa ni kawaida kukaa muda mrefu wanasema MDAs na LGAs za 2022 zilichukua miez 7-8 kuita watu usaili
Nazan watakuwa wanamalizana na ma teacher kwanza naona wanalia lia kila wakati kwenye ma group ukoo
Unaambiw hamma halitokiiWanaosubiria pdf mda&lga kada ya cooperative officer tujuane hapa..
Sio kweli mkuu haiusian labda waalimu huko inaweza kuhusishwaTunaelekea kwenye uchaguzi Kiongozi......
Ukipita huu.....
Ndo maana mkeka wa juzi walitoa database 2023
Mmh waalimu ni wengi sana aisee sio mchezo. Nimepita sehem wazee kwa watoto wote wanafanya usailiNdo wale waliokuwa hawataki usaili 😂
Hao hao waliopo, wangemuelewa tuHuyo mwalimu aliyepata 0 alitaka akafundishe mtoto wa nani?
Mungu asikie maombi yetu...Haloo Hali ni Tete sio kidogo, dah pdf litakalokuja naomba Mungu liwe refu Sana majina yetu yakaonekane
Unaota au🤣😂😂 hamna saili tukutane mwaka mwingine wa fedhaWale wa MDAs na LGAs naomba muanze kujiandaa na saili maana mwezi wa tatu sio mbali
usahili unaofuata ni mwezi wa tisa tena ni wapishi🤣🤣Unaota au🤣😂😂 hamna saili tukutane mwaka mwingine wa fedha
Mkuu tunza hii post nasema ivi mwezi wa pili mwishoni majina yanatoka Kisha week ya kwanza ya mwezi wa tatu watu wanafanya saili Kisha mwezi wa tano, sita na Saba watu wanaingia kaziniUnaota au🤣😂😂 hamna saili tukutane mwaka mwingine wa fedha
Apo kwanza ncheke mkuu hii imeenda waalimu ndio siasa mkuu CCM kidumu chama cha mapinduzi!!Mkuu tunza hii post nasema ivi mwezi wa pili mwishoni majina yanatoka Kisha week ya kwanza ya mwezi wa tatu watu wanafanya saili Kisha mwezi wa tano, sita na Saba watu wanaingia kazini