El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
haloo mie wangeniua labda ingekua za halmashauri ila TRA labda wangekuja na vifaru ndo ningetoka π€£ π€£Eti hyo haiwezekani, yan wame shortlist, nimepiga written then naiona asali inakaribia ndio wanichomoe dah sitokiπππππ
Long time no see .. mzee wa borderWaungwana. Kama kuna mtu anafahamu kuna group la kufanya maandalizi ya interview za IT & Telecom anijulishe. Nipo Zambia nimeitwa kwenye usaili tarehe 16.
Nipo mzee. Nazunguka tu kutafuta uhafueni wa maisha mkuuLong time no see .. mzee wa border
Unadhani ungefanyaje?haloo mie wangeniua labda ingekua za halmashauri ila TRA labda wangekuja na vifaru ndo ningetoka π€£ π€£
Kwa waliokuwepo DUCE waliruhusiwa kufanya mtihani kwasababu hiyo sio banking pekee bali banking na finance. Sijui hao waliozuiwa walikua kituo kipi cha mtihani boss.Ni kweli. Kwa upande wa Tax Management Officer II, wale waliosoma Bachelor of Banking and Finance, waliapply, wakawa shortlist, wakazuiwa mlangoni,. Ni kama utumishi tu, kama kozi haijatajwa, ukaomba na kiwa short listed, katika kuhakiki vyeti wanakuzuia.
Hv tofauti za hizi TIN ni zipi mana Mm nna TIN na imeandikwa Only for Non for business use, ila mm ilihitajika kazin sekta binafsi.Kwa nini una-apply TIN namba ya biashara kijana? Apply isiyo ya biashara
Ndomana wakaweka usahili wa pili pia kama vile oral sababu ni ile ile tu ni kupata watu sahihi zaidi kutokana na malengo ya taasisi yao wanavyo taka wenyewe mkuu, kama mfumo hau kuhitaji ni kazi bure kuendelea kufanya mapambano ya lazima kwakuwa ulifanya tayar written interview then na huko wakuache hapana, kikubwa ikitokea hivyo ni kukubali matokeo kwamba hiyo sio riziki yako songa mbele tafuta kwingine mungu yupo nawe daima ata bless tu siku moja.πHiyo ni kawaida saana.. Kuna jamaa alichomolewa kwenye oral masikini ya mungu
Kuna ambao walizuiliwa baadae wakaachiwa wafanye mtihani, ila wengine waliokuwa na wasimamizi wakuda waliwatosa kabisa.Naomba kuuliza waliofanya interview ya Tra mwaka jana eti kuna watu majina yao yalitoka lakini walikuja chomolewa wasifanye mtihani???
E.g waliosoma BBA in something walitolewa wakaachwa wale wa BBA kavu(in general)
Ni kweli???
Ukiomba ya biashara inakuwa na vipengele vingi. Unashauriwa kuomba TIN namba isiyo ya biashara, ukitaka baadaye kuitumia kwa biashara una-update taarifa kwenye mfumo tu, au unaenda ofisi yoyote ya TRA wanakuingizia taarifa.Hv tofauti za hizi TIN ni zipi mana Mm nna TIN na imeandikwa Only for Non for business use, ila mm ilihitajika kazin sekta binafsi.
Kunakuwa na askari mkuu hujawai kuhudhulia?? na wanakuwa na mitutu ukilipuliwa ya mguu kuvuruga mitihani utasema nini.???Eti hyo haiwezekani, yan wame shortlist, nimepiga written then naiona asali inakaribia ndio wanichomoe dah sitokiπππππ
Hizi tutamaliza nazo mwaka hiziView attachment 3266639Hivi hizi kazi za kilimo toka mwezi wa nane ziliendaje
Kuwa na subraView attachment 3266639Hivi hizi kazi za kilimo toka mwezi wa nane ziliendaje
walimu aoHatimae imetimia mwezi mmoja bila kuona PDF la "Kuitwa kazini taasisi mbalimbali za umma"
Daah kila siku PDF ni wao tuuwalimu ao
kama wamefika hata buku tangu waanze kuitwa π€£ π€£Daah kila siku PDF ni wao tuu
Yaani nikifikiria kusafiri kutoka Ndola huku Zambia mpaka Vwawa kisha Mbeya mjini kwa ajili ya usaili wa Utumishi halafu unakandwa usingizi sipati.Utumishi 5-0 majobless