HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Fanya nao mawasiliano mapema, inawezekana kufanyia moro
 
Ukienda siku ya usaili hawatokukubalia cha kufanya wasiliana nao mapema kabla tarehe ya usaili.. pia mkuu jitahidi ku update taarifa zako unapohama sehem moja kwenye nyengin ili kuepukan na changamoto kama hizo
 
Ndiooo
 
Hello Ndugu wa Jf.
Kuna Pdf ya nafasi za Ajira Muhas imetoka leo lakini imesema barua iandikwe kwenda kwa Deputy Vice chancelor wa chuo badala katibu mkuu psrs kama ilivyo zoeleka.
Naomba kufahamishwa hii ajira inakuwa ni ya serikali au ni ya chuo ? Je ni permanent ?
Atakae pata atatambulika kama mwajiriwa wa serikali au wa Chuo ?


Mwifwa
Leonce jr
makutupora
No SQL
MamaSamia2025
Jumah JR Kalikenye_91
 
Ya serikali...pale upande wa kushoto kwenye address ya mwajiri unabadilisha unaandika hyo waliokupa...
Usiandike ile ya katibu wa psrs
 
Mkuu tafuta tangazo husika nenda ajira portal updates kule wanakoweka matangazo download Tangazo zima lipitie kipengele kimoja baada ya kingine. Hakikisha unapitia lote kuepuka kukosea mkuu Anuan hipo umo kwenye tangazo ndio inakuwa sahihi usiangalizie kwa mwenzio. Follow instructions

aione kwenye jarada
Mwifwa
 
Kaongezen received huko wakuu zimemwagwa tena. Pia naomba mtu ambaye yupo kwenye magroup ya HR & ADMINISTRATION naomba number yake pm an add kwenye hayo ma group
Kaka naona maandalizi ya kuwakanda yameanza .. nakutakia kila la heri .. ukafanikiwe usaili.. siku moja tupate ushuhuda humu wa asali.๐Ÿซก
 
Mkeka wa LGA na MDA umetoka na niliapply kwenye mkeka simo na kwenye account yangu ya ajira portal bado imeandika '' received', kwani siku hizi hawatoi sababu ya kuto-shortlist mtu?? Niliomba afisa hesabu II
Ya afisa hesabu ndio yametoka jana mkuu hayo uloangalia ilikua ni wa uchumi vipi umekua shortlisted?
 
Wakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
 
Wakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
Chungulia mara kwa mara kwenye account Yako mkuu wataeka tu kituo
 
Pitia vizurii Tangazo mkuu kama ni la mkataba wataainisha humo kwenye tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ