Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huku ni zaidi ya maandalizi ya UE, hakuna second chance ukizingua.

Chuo kuna Sup(second chance)
 
Ushuhuda huu uwe chachu kwa wapambanaji wote bila kuchoka!
 
Hongera sana mkuu, you are 45mins away to win the battle(kama kwenye football upo kwenye HT kama ilivyokuwa Messi).

Lakini kumbuka second half lolote linaweza kutokea, ama win or lose.

Sasa jiandae kupambana hadi tone la mwisho la jasho ili uweze kupata matokeo bora.

Kila la kheri na Mungu akutangulie
 
Mimi urefu unanisumbua, napata shida kuanzia viatu hadi nguo
Siku ile niliona mrefu mmoja tu, yule aliyekuwa na mwili mdogo/mwembamba, halafu wewe sio mwembamba sasa huo urefu umeutoa wapi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…