mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Noma sana asee.Kusubiria Placements ni mtihani sana,Yaani unaweza Kuta mambo mengi hayaendi kila ukikumbuka ulifanya usaili ni presha mwendo wa presha.Bado bila bila mkuu.
Hii web ya psrs ingekuwa ni dawa ingekuwa ishaniua maana kwa siku naichungulia/nainywa zaidi ya mara 20[emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naam...niliona kuna ujumbe fulani huko nyuma ulimjibu kwa ID ya Prok..akaja kujibu kwa ID hii..basi nika connect dots. Ana maintain anonymity maana tarehe za kulamba asali zimekaribia...ha ha ha.
Mbona Kama wizy au Jambo la kifamilia?!( Joke)Mimi nlivyofeli Tra, mtu kesho yake ananiuliza tena wameitwa wangapi oral, yaan hilo swali kumtajia 200+ nliona km anataka kunidhalilisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nishaona mkuu, tuishi..Naam...niliona kuna ujumbe fulani huko nyuma ulimjibu kwa ID ya Prok..akaja kujibu kwa ID hii..basi nika connect dots. Ana maintain anonymity maana tarehe za kulamba asali zimekaribia...ha ha ha.
Request approvedHongera sana mkuu.
Karibu kwenye korido la kusubiri matokeo(placements)
Tupe michapo basi Toka inaingia mpaka unatoka kwenye panel.. maana Wenda Now mwaka mpya wamekuja kivingine.. tupa Nondo hapa mkuu maana najua ushaingia TRA wewe ni uhakikaRequest approved
AsanteAhaa karibu kwenye Uzi wetu,
Muhimu kaka, akizubaa tunaibukia PMNaona kijana unafanya jalamba mdogo mdogo. Mzee wa Ma-Subaru hayupo sasa, ushindani wa wazi hautokuwa mkali sanaaa.
Kiukweli mkuu leo panelist wamekua fair sana tokea interview imeanza walikua na tabia za kutupanikisha ila leo hekima ilikua juu sana wametucomfort na kutufanya tujiskie nyumbani unaweza kujieleza bila presa wala uoga.Tupe michapo basi Toka inaingia mpaka unatoka kwenye panel.. maana Wenda Now mwaka mpya wamekuja kivingine.. tupa Nondo hapa mkuu maana najua ushaingia TRA wewe ni uhakika
🤣🤣🤣🤣🤣Muhimu kaka, akizubaa tunaibukia PM
Sio kuandika kueleza kwa mdomoKwahyo Oral yenu bado maswali yalikuwa ya kueleza kama Written..?
Nishakuelewa.. but kada nyie oral labda swali moja wanaweza kutaka uelezee. Mengi ni Outline/mentionSio kuandika kueleza kwa mdomo
YesProk umekuja na ID nyingine siyo?[emoji102]
Muoneee[emoji23]Naam...niliona kuna ujumbe fulani huko nyuma ulimjibu kwa ID ya Prok..akaja kujibu kwa ID hii..basi nika connect dots. Ana maintain anonymity maana tarehe za kulamba asali zimekaribia...ha ha ha.
Utasikia wengi hivyo na umekosaMimi nlivyofeli Tra, mtu kesho yake ananiuliza tena wameitwa wangapi oral, yaan hilo swali kumtajia 200+ nliona km anataka kunidhalilisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi kwa kuwa muwazi, sasa ndugu yangu Wkingz umeona mfano huoYes
Mimi ndo ndiye[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi wala sifichi na bado ukitaka nijua mimi ni nani ]
Usijali Odo wake Junior wangu[emoji3][emoji3]Yes
Mimi ndo ndiye[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi wala sifichi na bado ukitaka nijua mimi ni nani unaweza tu maana at the same time nafanya biashara. Sina cha kuficha always real.
Nmebadilisha ID kwa sababu nyingine maalum ila about being anonymous sina cha kuficha ndugu zanguni[emoji23]