Placement ya leo ndio ilitufungia mkando wa September, zingine kama zipo sizikumbuki, mnaokumbuka ebu tutajieni tuanze kuzibetia ni lini zitatiki. Then tugeukie placements za mikando ya OctoberLeo Kuna nyengine inakuja, tuseme Amina [emoji23][emoji23]
Mashaka ya nini?Mhhhh hata Mimi naanza kupata mashaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Me nmekupenda we kaka, hauna reactions za karibu kama kaka angu Mwifwa
Hongera sana mkuu, hakika mwaka umeanza vizuriKuhusu kuwakanda utumishi ila wako vizuri bila janjajanja bila rushwa nimepita huu uzi upae huu mawinguni Wizy na mwifa mungu awapambanie oral moja tu nimewakanda ila huu uzi nilianza kufuatilia muda sana nikaw najifunza jinsi ya kukanda na kukandwa ntawapa uzoefu ilivyokua
Napitia tuNa usipate mashaka, nimesoma sana comment za wizy na nimepata kitu, mm pia ni muumini wa status.
Sawa mkuuAnajiandaa kwenda kwa mwajili, nitaleta mrejesho inshallah
Weee usinambie[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wengine ni wateja wako huko kariakoo, kariri tu majina watajileta wenyewe
Mimi wakaka wa humu wote nawapenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], utakuwa hujanijua vizuriKwa mbaaaaaaaali mbali sana naona kama ki masihara flani hiv inanukia[emoji1][emoji1][emoji1]. Ni mtazamo wang tu bro Wkingz .
Hebu taja handle ya Instagram ya business yako tuwe tunapitapita kuosha macho.Mimi wakaka wa humu wote nawapenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], utakuwa hujanijua vizuri
asante mkuu ulinipa sana moyoo ndugu nisikate tamaaaHongera sana mkuu, huwa nafurahi sana kusikia hii mirejesho.
Umeniwakilisha kwenye kukanda maana mimi nilishushiwa kitu kizito pale CBSL cafe
asante kakaHongera sana mkuu. All the best
asante kaka nawaombea wote mtalamba asaliHongera sana kiongozi enjoy ur day.
pamoja sana kakaHongera sana mkuu, hakika mwaka umeanza vizuri
All the best mkuu.pamoja sana kaka
Mimi wakaka wa humu wote nawapenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], utakuwa hujanijua vizuri
KabisaaWeee usinambie[emoji23]
Mzuka wa kupata shavu, hongera chief.. karibu mzigoni.jamani mjue hata usingizi sina kabisa