Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuhusu kuwakanda utumishi ila wako vizuri bila janjajanja bila rushwa nimepita huu uzi upae huu mawinguni Wizy na mwifa mungu awapambanie oral moja tu nimewakanda ila huu uzi nilianza kufuatilia muda sana nikaw najifunza jinsi ya kukanda na kukandwa ntawapa uzoefu ilivyokua
Hongera sana mkuu, hakika mwaka umeanza vizuri
 
Back
Top Bottom