Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Placement chuo kikuu huria
Screenshot_20220914-134001.jpg
 
Laiti mzee wa Aliyeondoka asingebadili mfumo wa ajira nisingehangaika kuutafuta mrija wa Asali namna hii, ningeingia moja kwa moja baada ya kusajiliwa na kupata leseni ya kazi kutoka kwenye baraza langu la Kitaaluma.

Ingawa mtaani tunabangaiza bangaiza vijisenti vya kusogeza siku ila havina security, nchi yetu security ya vijisenti ni muhimu sana, ambapo kwa uhakika wa asilimia kubwa tunaipata huku Gavo.

Ni bora upate(ujira) kidogo palipo na uhakika wa kukipata kuliko na kupata kikubwa pasipo na uhakika wa kukipata, yaani hicho kikubwa ukikipata leo halafu kukipata tena hadi uzidishe maombi usiku na mchana. Ni taabu.

Ingawa hili ni mtazamo ya watu mbali mbali, na hatuwezi kufanana mitazamo kwa hiyo kila mtu anaamua kuchagua wapi pa kushika.

Tuendelee kupambania mrija wa Asali popote tunapoona panafaa
Ngoja tutafute mirija ya asali, japo kuna nyuki,tujilinde na manundu👍
 
Wadauu inakueajeee, nimekuwa shortlisted MUHAS nina siku kama 5 sasa, cha kushangazaa
Siooni ratiba yamtihani kwny Portal

na wala sioni PDF yeyote ya shortlist UTUMISHI au Kweny website ya Chuo.

Nipo njia panda wasije wadau wakawa washapiga pepaa.
IMG_20220914_165442_1.jpg
 
Back
Top Bottom