Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Usipoomba kuuliza hamna hiyo, wakimaliza maswali yao unasepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh hatari Sasa hii imekaajeAlaf kumbe MUCE watu washaripoti kazini, wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa, nishakandwa
Inategemeana na panel siku hiyo mara nyingi huwa hawatoi nafasi yakuuliza swali lakini ya juzi nilivyomaliza nikashangaa wananiambia niseme chochote kama nnacho chakusema so jiandae kwa vyoteHivi PSRS huwa wanatoa nafasi kwa jobless kuuliza swali baada ya kukandwa?
Nilikwambia subiri IAE mzee😂😂😂😂😂😂Alaf kumbe MUCE watu washaripoti kazini, wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa, nishakandwa
😂😂😂😂Hahhhh unasonga mbele kama injili au sioUsipoomba kuuliza hamna hiyo, wakimaliza maswali yao unasepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Kuna vitu wanafanya lakini vinatupa hofu sana,Duuuh hatari Sasa hii imekaaje
Daah kaka we acha tu, hata kama, ilibidi watoe pdf ili at least ujue mambo yapoje, siku zote nasubiria placement kumbe nishakandwaNilikwambia subiri IAE mzee😂😂😂😂😂😂
kwani muce ndo walisimamia au utumishi?Daah kaka we acha tu, hata kama, ilibidi watoe pdf ili at least ujue mambo yapoje, siku zote nasubiria placement kumbe nishakandwa
Ukute hata huko IAE watu washaitwa Kwa simu tu na tayari washapewa madarasa ya kufundisha🤔🤔Nilikwambia subiri IAE mzee😂😂😂😂😂😂
Ukute hata huko IAE watu washaitwa Kwa simu tu na tayari washapewa madarasa ya kufundisha🤔🤔
Tulifanyia chuoni kwao pale, siwezi jua kama utumishi ndio walisimamia zoezi au chuo lakini maafisa utumishi walikuwepokwani muce ndo walisimamia au utumishi?
Sawa sawaTulifanyia chuoni kwao pale, siwezi jua kama utumishi ndio walisimamia zoezi au chuo lakini maafisa utumishi walikuwepo
Hapa inabidi nikajizolee point maana wao kunikanda ni rahisi, nikiwauliza swali hasa likiwa la technical naweza kufukia mashino nitakayokutana nayoYeah unaomba kuuliza wanakubali na wanakujibu
Duu, pole mkuu.Alaf kumbe MUCE watu washaripoti kazini, wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa, nishakandwa
MUCE-selected for oralBado angalia status zako kwenye account sizipo tofauti au?
Mimi naandaa swali nitaomba niwaulizeUsipoomba kuuliza hamna hiyo, wakimaliza maswali yao unasepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuuInategemeana na panel siku hiyo mara nyingi huwa hawatoi nafasi yakuuliza swali lakini ya juzi nilivyomaliza nikashangaa wananiambia niseme chochote kama nnacho chakusema so jiandae kwa vyote
DooohAlaf kumbe MUCE watu washaripoti kazini, wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa, nishakandwa
Asante kutoka sehemu tatu Hadi mojaDuu, pole mkuu.
Matumaini yaelekeze IAE sasa
Yeah Me nachoona ukifanya oral psrs, ukimaliza tu kaanze kuaply upya kazi zingine utanishukuru nimekaa pale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh unasonga mbele kama injili au sio