Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh unasonga mbele kama injili au sio
Yeah Me nachoona ukifanya oral psrs, ukimaliza tu kaanze kuaply upya kazi zingine utanishukuru nimekaa pale.
"ITS BETTER TO BE SUPRISED THAN TO BE DISSAPOINTED"
usirelax mpk ujione kwenye PDF unaweza kuukata mwaka unasubiri embe chini ya mbuyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuishi humu. Bora uendelee kukandwa kwengine mpk PDF iseme ndio nawewe ukomee hapo. Time Value
 
Back
Top Bottom