Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Ipo inasoma kama zile ambazo sikwenda kwenye interviewSawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo inasoma kama zile ambazo sikwenda kwenye interviewSawa
Siunaona tofauti ya hizo shortlisted na ile shortlisted for written??ukielewa hiyo tofauti basi utaanza kubrush viatu kama mimi kuchukua barua😂😂😂😂😂Ipo inasoma kama zile ambazo sikwenda kwenye interview
Aya kila lakheri kiongozi, hopefully tutaonana pale asha rose migiroSiunaona tofauti ya hizo shortlisted na ile shortlisted for written??ukielewa hiyo tofauti basi utaanza kubrush viatu kama mimi kuchukua barua😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Uhakika mwezi ujao mzee tuwe wapoleAya kila lakheri kiongozi, hopefully tutaonana pale asha rose migiro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii lazima atoboe mzee
😂😂😂😂na lazima maajabu yataonekana hii ni direct anaenda kaziniKabisa Mkuu, ndugu yetu amepanda daraja miongoni mwa madaraja ya ujobless.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii comment ni kama kale kasauti cha ATM ukiwa unapakua Asali
Hahahaaaa, asikate tamaa.Hahaha, kabisa Mkuu.
Mimi Mdogo wangu ndiye bado kila usaili akifika wanamnyoosha mpaka kuna muda huwa ananiambia anahisi kama watu watamuona hana akili, mara zote huwa namwambia muda wake bado haujafika, ukifika yote yatakwisha.
Hahahaa, bora usikose na vingine visivyohitaji nguvuView attachment 2407681acha tutoe stress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na lazima maajabu yataonekana hii ni direct anaenda kazini
Kuna muda wa kusahau machunguHahahaa, bora usikose na vingine visivyohitaji nguvu
Kumbe jamaa una choggo namna hyo😂😂😂 but joking mkuuView attachment 2407681acha tutoe stress
Kuna documents nilikutag mzee ni muhimu ina madini sana sijui umeipata ??icheki itakuokoa mzeeGoogle translate imefanya shwaaa, kimombo kimenyooka. Naishi nachoView attachment 2407676
😂😂😂😂Jobless unaenda baharini?ukibebwa na maji umulaumu nani sasa?View attachment 2407681acha tutoe stress
Nimeicheki kitambo tuKuna documents nilikutag mzee ni muhimu ina madini sana sijui umeipata ??icheki itakuokoa mzee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jobless unaenda baharini?ukibebwa na maji umulaumu nani sasa?
😂😂😂😂Ule unadeal na kutafuta manzi tu hahh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ule upepo wa kisuli suli uliishiaga wapi?