Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Siunaona tofauti ya hizo shortlisted na ile shortlisted for written??ukielewa hiyo tofauti basi utaanza kubrush viatu kama mimi kuchukua barua😂😂😂😂😂
Aya kila lakheri kiongozi, hopefully tutaonana pale asha rose migiro
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii comment ni kama kale kasauti cha ATM ukiwa unapakua Asali

Hahaha, kabisa Mkuu.

Mimi Mdogo wangu ndiye bado kila usaili akifika wanamnyoosha mpaka kuna muda huwa ananiambia anahisi kama watu watamuona hana akili, mara zote huwa namwambia muda wake bado haujafika, ukifika yote yatakwisha.
 
Hahahaaaa, asikate tamaa.

Mimi nilibakisha silaha moja(NAOT) hatimaye shoot limekuwa on target, sasa ni battle la kipa na mpira[emoji3][emoji3][emoji3]
 
16676584376966516672406968684035.jpg
acha tutoe stress
 
Back
Top Bottom