Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unahakika gn ni

Mtu wautumishi 🤣🤣
Ile ni new member mzee kuna huyo mmoja nae alikujaga humu akasema placement itatoka kesho afu akapotea mazima na Kweli ilitoka ile placement ukitaka kuwajua comment zao hazijirudiagi mara nyingi mzee hawana kujibizana kama sisi😂😂😂
N.B ni mawazo yangu tu na utafiti wangu wa kuwa humu kwa muda mrefu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zina maana yake sema maana yake sasa hatuijui lakini kwa user wa system Zina maana yake mzee
Kama hazina maana basi ukikuta not selected for oral we nenda kapige oral tuone kama watakuruhusu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema maana tunazozijua sisi ni zile za mwanzo lakini after ndo hatujui
Sasa hapo ndo tunaposhindwa kuelewana..Naongelea wale ambao wanakuwa selected for oral alafu wnaakuta zimekuwa shortlisted wanaanza kupaparika..! Au mtu kapata placement anaweweseka na status inaonesha shortlisted[emoji1][emoji1][emoji1] Kiufupi kama hujawa selected for oral kamwe haiwezi sema selected[emoji1][emoji1][emoji1]
 
😂😂😂😂Hapo sasa tunaelewana
 
Alafu kwenye maelezo yake jamaa amesema Watu wanafanyiwa VETTING,so hyo vetting ni nn au wanakupeleka VETA kwa Meck Pro?
@euca definition from Wikipedia "Vetting is the process of performing a background check on someone before offering them employment, conferring an award, or doing fact-checking prior to making any decision. In addition, in intelligence gathering, assets are vetted to determine their usefulness.[1]"

Hapo unaweza jiangalia kweny kanzi data au ajira
 
Kwa junior levels wanaangalia education background tu
 
Back
Top Bottom