Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ni new member mzee kuna huyo mmoja nae alikujaga humu akasema placement itatoka kesho afu akapotea mazima na Kweli ilitoka ile placement ukitaka kuwajua comment zao hazijirudiagi mara nyingi mzee hawana kujibizana kama sisi😂😂😂Unahakika gn ni
Mtu wautumishi 🤣🤣
😂😂😂😂Hahhhhh mwanangu una ujinga mwingiHaya Sasa jamani mkaangalie huko
Mechi ya Brazil 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Yes ukikariri hasa kwenye oral watakukanda vibaya sanaPsrs washawapa majibu kabisa kuwa acha kukariri elewa tu taaluma Yako Sema watu wabishi sana
😂😂😂😂😂Yes ukikariri hasa kwenye oral watakukanda vibaya sanaPsrs washawapa majibu kabisa kuwa acha kukariri elewa tu taaluma Yako Sema watu wabishi sana
Sasa hapo ndo tunaposhindwa kuelewana..Naongelea wale ambao wanakuwa selected for oral alafu wnaakuta zimekuwa shortlisted wanaanza kupaparika..! Au mtu kapata placement anaweweseka na status inaonesha shortlisted[emoji1][emoji1][emoji1] Kiufupi kama hujawa selected for oral kamwe haiwezi sema selected[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zina maana yake sema maana yake sasa hatuijui lakini kwa user wa system Zina maana yake mzee
Kama hazina maana basi ukikuta not selected for oral we nenda kapige oral tuone kama watakuruhusu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema maana tunazozijua sisi ni zile za mwanzo lakini after ndo hatujui
😂😂😂😂Hapo sasa tunaelewanaSasa hapo ndo tunaposhindwa kuelewana..Naongelea wale ambao wanakuwa selected for oral alafu wnaakuta zimekuwa shortlisted wanaanza kupaparika..! Au mtu kapata placement anaweweseka na status inaonesha shortlisted[emoji1][emoji1][emoji1] Kiufupi kama hujawa selected for oral kamwe haiwezi sema selected[emoji1][emoji1][emoji1]
Ok sawa ,hapo kama four umeludia mara tatu si ndo baba jeni bye bye tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vetting wanafatilia background yako ya elimu mzee
Amna wanaangalia credit ulizopata kwenye vyeti vyoteOk sawa ,hapo kama four umeludia mara tatu si ndo baba jeni bye bye tena
game kali kinomaNgoja nikamcheck Neyma Jr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeOk sawa ,hapo kama four umeludia mara tatu si ndo baba jeni bye bye tena
@euca definition from Wikipedia "Vetting is the process of performing a background check on someone before offering them employment, conferring an award, or doing fact-checking prior to making any decision. In addition, in intelligence gathering, assets are vetted to determine their usefulness.[1]"Alafu kwenye maelezo yake jamaa amesema Watu wanafanyiwa VETTING,so hyo vetting ni nn au wanakupeleka VETA kwa Meck Pro?
Kwa junior levels wanaangalia education background tu@euca definition from Wikipedia "Vetting is the process of performing a background check on someone before offering them employment, conferring an award, or doing fact-checking prior to making any decision. In addition, in intelligence gathering, assets are vetted to determine their usefulness.[1]"
Hapo unaweza jiangalia kweny kanzi data au ajira
Senior levels vp??Kwa junior levels wanaangalia education background tu
Wanajibu utafikri Vodacom[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa post ambazo hazihitaji experience kubwa vetting inabase kwenye elimu yako tuSijakuelewa hapa wizy
Hizo wanafatilia mpaka utendaji wako wa kazi ulikuwa huko ulikopitaSenior levels vp??
😂😂😂😂Voda wanakwambia kama bando bei kubwa hama mtandaoWanajibu utafikri Vodacom[emoji3][emoji3][emoji3]