Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.

Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Cha muhimu nenda na mtoto na mtu wa kubaki naye Muda ukiwa isolated. Pia waeleze una mtoto mdogo unaomba uwe wa kwanza kufanyiwa usaili watakupa nafasi.
Wanawake mko wangapi katika hao 6? Usiseme nimepita oral SEMA nimefanikiwa kuchaguliwa kuingia oral na sio kupita oral.
 
Tuconcetrate wapi hapo wadau wenye uzoefu wenu psrs
Screenshot_20221128-192909.jpg


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom