Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mdau alisema wanakatazwa ndio maana nimehojiHii hapana mbona tunafanya nao usaili Kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdau alisema wanakatazwa ndio maana nimehojiHii hapana mbona tunafanya nao usaili Kila siku
Hakusema lakini kama amekandwa,huenda anapambana na oral huko mzee wa hovyo aongeze lost ya shortlisted kuleHivi alikandwa kwenye written?
Ngoja tumsubiri aje hewani atuambieHakusema lakini kama amekandwa,huenda anapambana na oral huko mzee wa hovyo aongeze lost ya shortlisted kule
Cha muhimu nenda na mtoto na mtu wa kubaki naye Muda ukiwa isolated. Pia waeleze una mtoto mdogo unaomba uwe wa kwanza kufanyiwa usaili watakupa nafasi.Mi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.
Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Ni vizuri ungeshare nasi maswali uliyokutana nayo kwenye hizo oral zako?haya wakuu nimepiga Oral zote mbili narejeaaa home nipo Stand ya Nane8 naska gari la home..
asanteni kwa ushauri..
tusikiliziiie Placement sasa ambayo nahisi itatoka January.
Mmh kua na subira Placement zinaweza toka zaidi ya Januaryhaya wakuu nimepiga Oral zote mbili narejeaaa home nipo Stand ya Nane8 naska gari la home..
asanteni kwa ushauri..
tusikiliziiie Placement sasa ambayo nahisi itatoka January.
Sijui hajaleta mrejeshoHivi alikandwa kwenye written?
Eeh atuambie kama ni baba Jeni Bai Bai au vipi🤣Ngoja tumsubiri aje hewani atuambie
Kuwaa mpole linapokuja swala la placementhaya wakuu nimepiga Oral zote mbili narejeaaa home nipo Stand ya Nane8 naska gari la home..
asanteni kwa ushauri..
tusikiliziiie Placement sasa ambayo nahisi itatoka January.
Kaka Wana kanzi data za waajiriwa nahisiMkeka wa ASA nimesearch sijioni 🤣🤣 account IPO received ngoja nisubri wataandika nn badae wamejua nimlamba asali 🤣🤣 nafasi inataka mmoja hii hata Kwa bunduki nisingeenda wakuu
[emoji3][emoji3][emoji3] wanataka kuwakusanya wawaoneMikeka ya shortlisted inamwagika tu huku wakija kuanza kumwaga placement itakua balaaaa