Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Yeah, nina kimeo na hawa "Mamlaka ya Mapato Tanzania"Hahaha usiwaze tuko pamoja.
Na wewe wasuburi placement kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, nina kimeo na hawa "Mamlaka ya Mapato Tanzania"Hahaha usiwaze tuko pamoja.
Na wewe wasuburi placement kwani?
Haha hawa tusubiri mpaka MarchYeah, nina kimeo na hawa "Mamlaka ya Mapato Tanzania"
Hahahaha,. Sawa sawa mzee wa "Tai Nyekundu". Ila mie sikuvaa tai siku husika. 🤪Haha hawa tusubiri mpaka March
😂😂 mi skuvaa tie pia, tie mwenzie ni buyu wa asaliHahahaha,. Sawa sawa mzee wa "Tai Nyekundu". Ila mie sikuvaa tai siku husika. 🤪
Hahaha. Mkuu mbona kama siku husika ulika umevaa "tie nyeupe" tie ya "utakatifu" 😂🤣😂😂 mi skuvaa tie pia, tie mwenzie ni buyu wa asali
Haha kiongozi mi hata kufunga tie sijui kuvaa ntawezaje😄Hahaha. Mkuu mbona kama siku husika ulika umevaa "tie nyeupe" tie ya "utakatifu" 😂🤣
TRA ni march au April kabisa kama waliopita 😄Kama ilivo kawaida yangu, na ratiba yangu ni ileile nikifurahi mida ya saa 3 usiku, ntaachia pdf moja, nafikiria nianze na kada ipi ya November,TAEC,TARI, HESLB, au ngoja tuanze na hawa wa dec TRA.🤣🤣🤣
Hongera "in advance", kuna mkuu hapa alichangia kuwa waliovaa tie wote baba jeni bye bye.Haha kiongozi mi hata kufunga tie sijui kuvaa ntawezaje😄
Tunaitaji kukusanya kodi kwa kasi awa wa TRA wajiandae mda wowote ntawaachia pdf yao.TRA ni march au April kabisa kama waliopita 😄
Sema wanadai wanataka watu by march wanaweza wakawahi kutoa pdfTunaitaji kukusanya kodi kwa kasi awa wa TRA wajiandae mda wowote ntawaachia pdf yao.
Haha usiwakatishe tamaa wavaa mijusiHongera "in advance", ) kuna mkuu hapa alichangia kuwa waliovaa tie wote baba jeni bye bye.
Hahahaha. Haina noma mkuu, mishe zinaendeleaje lakini?Haha usiwakatishe tamaa wavaa mijusi
🤣🤣🤣🤣🤣 yaani unapendeza kuliko ata boss wa taasis tunayokupeleka, hii inakua dharau.Hongera "in advance", ) kuna mkuu hapa alichangia kuwa waliovaa tie wote baba jeni bye bye.
Ni amani na utulivu mwingi wa kumsubiria pdf.. tumekuwa kama wapiga patrol wa utumishi 😂Hahahaha. Haina noma mkuu, mishe zinaendeleaje lakini?
Kaka sorry hii ya kuvaa tie inahusiana namna gani na kupata kazi au kukosa kazi? Maana naona mnaiongelea sana tujue mapema aisee.Hongera "in advance", kuna mkuu hapa alichangia kuwa waliovaa tie wote baba jeni bye bye.
Kwani kupendeza si ndio usmart huo? Nani alimwambia boss hasipendeze? Naona hakuna correlation baina ya kupendeza, kuvaa tai na kukosa kazi. Naamini kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi na sawa regardless what.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani unapendeza kuliko ata boss wa taasis tunayokupeleka, hii inakua dharau.
Ulivaaaa tai nini 😂😂 walaka mrefu sanaKwani kupendeza si ndio usmart huo? Nani alimwambia boss hasipendeze? Naona hakuna correlation baina ya kupendeza, kuvaa tai na kukosa kazi. Naamini kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi na sawa regardless what.
Kumbuka pia, Kuna wengine hawajavaa tie na still walipendeza sana kuliko boss, so kuva au kutokuva atie haina uhusiano na kupata au kukosa kazi.
Don't worry about how it will happen, Trust God that it will.[emoji120]
Don’t take it too personal walikuwa Wanazinguaa tuKwani kupendeza si ndio usmart huo? Nani alimwambia boss hasipendeze? Naona hakuna correlation baina ya kupendeza, kuvaa tai na kukosa kazi. Naamini kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi na sawa regardless what.
Kumbuka pia, Kuna wengine hawajavaa tie na still walipendeza sana kuliko boss, so kuva au kutokuva atie haina uhusiano na kupata au kukosa kazi.
Don't worry about how it will happen, Trust God that it will.[emoji120]